KUTOKANA NA TATIZO SUGU LA UMEME TULILONALO HAPA BONGO,NA KUTOKANA KWAMBA SITAKI KUWAANGUSHA MASHABIKI WANGU JUU YA UJIO WA FILAMU YANGU MPYA YA DEVIL KINGDOM NIMEAMUA KUNUNUA GENERATOR YENYE UWEZO MKUBWA WA KUWASHA TAA,AIR CONDITION,COMPUTOR NA VIFAA VYOTE VYA OFISINI VINAVYOHUSIKA KATIKA KUHARIRI MOVIE ILI SHUGHULI YA EDITING IENDE KAMA NILIVYOPANGA MSICHELEWE KUIONA MOVIE,TANESCO WAKICHUKUA UMEME WAO NAMIMI NAWASHA WANGU KAZI INASONGA MBELE OFISINI ...WAHENGA WANASEMA SHIDA DARASA..... GENERATOR YANGU IKIFANYA KAZI YAKE MAANA UMEME NDIO HIVYO TENA.
Star Times
Mercy Beauty Parlour
Jul 25, 2011
SCENE ZA MWISHO MWISHO KATIKA DEVIL KINGDOM...
Hii ni movie inayoingia katika historia yangu ya movie niliyowaikushoot kwa mda mrefu kuliko zote nilizowaikushoot,ni movie iliyoshirikisha washiriki wengi main na extras kuliko movie yoyote niliyowaikushoot au zilizowaikutengenezwa hapa bongo maana ni zaidi ya washiriki mia mbili,ni movie iliyoitaji vifaa vya ziada katika shooting,lakini hata mfuko kidogo dah umetumika...sokoni mwezi ujao....DEVIL KINGDOM scene za kanisani
kwaya
kazi ikiendelea
washiriki katika scene
Toba ya kweli
The great kazini
Jul 21, 2011
NAOMBA TUCHANGIE WADAU JE? POMBE NI DHAMBI?
Niliamua kumtembelea rafiki yangu baba PAROKO Maganga wa kanisa la SINZA kufafanuliwa kuhusu pombe,niliamua kufanya hivyo kutokana kuwa na kauli tofauti toka kwa watu kuhusu pombe,wapo wanaosema pombe ni dhambi,wapo wanaosema unywaji wa pombe kupindukia ni dhambi,wapo waosema pombe ni haramu,lakini yapo madhehebu ya dini ambayo yanaruhusu unywaji wa pombe na yapo yanayokemea kabisa hata kugusa,na wote hao hutoa mistari toka katika Biblia takatifu kama kidhibitisho,Hii haimanishi mimi ni mnywaji wa pombe lakini ebu tujadili hili toka katika maisha yetu ya kila siku,toka katika maandiko ya vitabu vya dini lakini pia toka kwa wanafalsafa mbalimbali duniani na viongozi wetu.Katika utafiti wa kwanza niliofanya toka kwa Paroko yeye alisema....''''Pombe ni kama kisu,ukikichukua kisu kukatia nyanya na vitunguu kisha ukapika chakula watu wakala hapo kisu ni kizuri,....ILA ..ukichukua kisu hicho hicho na kwenda kumchoma mtu na kumjeruhi hapo kisu ni kibaya,hivyo basi hata pombe ukinywa na kwenda kufanya yasiyofaa hapo ni mbaya kwako lakini ukinywa na bila kufanya mabaya hapo si mbaya hivyo inategemea na unavyoitumia yenyewe haina ubaya.'''''Jamani wanywaji na msiowanywaji ebu tuchangie hapa............... Nikiwa ofisini kwake akinielekeza mambo mengi kuhusu Dunia
Jul 18, 2011
ILIVYOKUWA SURPRISE BIRTHDAY YA HARTMAN MBILINYI ALIYOFANYIWA NA MKEWE MARIAM HARTMAN(mama wa London)
Jul 16, 2011
ZANTEL YAANDAA TAMASHA LA WAZI LA MUZIKI KUPITIA OFA YAKE MPYA YA EPIQ NATION.
Subscribe to:
Posts (Atom)