tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post1029458610138796610..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: SIKU THE GREAT ALIPOTUA SOUTH AFRICA KWA AJILI YA KUSHIRIKI BIG BROTHER REVOLUTION....mengi yalisemwa sasa huu ndio ukweli.steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-56891419902342526022010-07-08T00:33:18.327+03:002010-07-08T00:33:18.327+03:00kaka acha nao aowabongosonga mbelekaka acha nao aowabongosonga mbeleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-62241693919145016522010-07-08T00:30:51.662+03:002010-07-08T00:30:51.662+03:00kaka achana naoaowabonngokaka achana naoaowabonngoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-54510459279673212522010-02-26T11:15:05.833+03:002010-02-26T11:15:05.833+03:00Hii ni society yenye watu wa aina nyingi sana, ofc...Hii ni society yenye watu wa aina nyingi sana, ofcourse wengi ni wapenzi wako wanakubali kila kazi yako, mafanikio, etc lakini mwenye mafanikio huwa hakosi wasiompenda il-hali tu na wao wametumia uhuru wao katika kuharibu au kutimiza nia zao. KAKA USIKATE TAMAA NDO MAISHA HAYA WALA USIWE DISCOURAGED NA WATU WASIOKUTAKIA MEMA. PIGA KAZI PANGA MIPANGO YAKO NA ENDELEA KUFANIKIWA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-88076264432290544522010-02-11T14:10:11.918+03:002010-02-11T14:10:11.918+03:00let kanumba be kanumba kanumba vaa unachotaka fany...let kanumba be kanumba kanumba vaa unachotaka fanya unalotaka remember u cant please everyone....love u..

mdau wakoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-5424523884953303202010-02-11T13:28:48.958+03:002010-02-11T13:28:48.958+03:00you know what! you are the star being so u need to...you know what! you are the star being so u need to accept challenges,there is this say by a Nigerian author,success belongs to the one who understand that discouragement is the fillip to succeed,making mistakes in English isn't a fellony.I observed this mistake in ua web,"the following are the movies I'VE WROTE" u were supposed to say I'VE WRITTEN.SO MAKOSA YAPO ILA TUJIFUNZE KUJIKOSOA NA KUKOSOLEWA.KINGEREZA SI LUGHA YETU YA KWANZA .KEEP IT UP UPO JUUUnknownhttps://www.blogger.com/profile/17991134846135047143noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-60279541189772720492010-02-11T02:20:56.860+03:002010-02-11T02:20:56.860+03:00ushauri wa bure hiyo cheni kiunoni vua wanaovaaga ...ushauri wa bure hiyo cheni kiunoni vua wanaovaaga ni rock star sio mastar wote hasa kama wewe wa movie haikupendezi.mimi niko huku kwa wadhungu sioni wakivaa na wale wanavaaga mara nyingi kwenye show sio kwenye matembeziAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-22927587429834076252010-02-10T15:30:48.092+03:002010-02-10T15:30:48.092+03:00sasa kwa nini hizi nguo ulizopiga nazo picha hapo ...sasa kwa nini hizi nguo ulizopiga nazo picha hapo haukuzivaa kwenye BBA,mimi lile shati lako la pink kwa kweli nilikuwa silipendi,maana ni la pink then transparent.
yaani wewe kanumba unapendeza sana ukivaa simple kuliko kuvaa kipedeshee maana ur so handsome and some of us girls can't handle kabisa.

Pia napenda sana movie zako sana kupita maelezo sana na nafurahia jinsi unakuwa mkweli ndani ya movie zako,

Pia namuunga mkono mdau wa juu kwa kusema kuwa usijiite The great,inakuwa kama haiji vile halafu imekaa kimajivuno na ushamba kidogo.
sisi tunakupenda wewe kanumba and us we are very proud of u saaaanAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-36173156008815260672010-02-09T11:10:29.085+03:002010-02-09T11:10:29.085+03:00Kanumba mi nadhani wakati mwingine jaribu kuchukul...Kanumba mi nadhani wakati mwingine jaribu kuchukulia mambo kwa mtazamo chanya, kwasababu kama kweli ulikuwa unakosea kuongea na watu wakasema kwani shida ni nini!!!??? hutaki kukosolewa unataka usifiwe uongo!!!???

Halafu pia wewe ni Celebrity sasa jifunze Communication skills usione tu watu wanakutakia mabaya, jaribu kufikiria kuwa wanakuwazia mazuri.

Mi nakushauri anza kujifunza namna ya kujielezea vizuri kwa kiingereza kwa sababu bba ni mwanzo mzuri wa wewe kuitwa kwenye mambo ya kimataifa. Ukiitwa kujielezea watu waelewe unaongea nini.

Mi ni hayo tu kaka sina chuki na wewe kazi yako naikubali sana, nimekwambia hayo kwa upendo kabisa naomba usinipige mawe.

MGMGnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-53109604856688382372010-02-09T00:12:23.787+03:002010-02-09T00:12:23.787+03:00kanumba nawe unakuwa mshamba mbona hayo mambo ni k...kanumba nawe unakuwa mshamba mbona hayo mambo ni kipindi kidogo ndugu yangu ila elewa kuwa palipo na mafanikio hapakosi fitna walimwengu ndivyo walivyo kaka ni wakuwaacha huwa wanasema na usiku wanalala wewe piga kazi na jiendeleze kusoma hiyo lugha zaidi ili baadae wanapoongea wao wewe ndo kwanza wasonga mbeleeeeeeeeeeeee ila tu kuwa makini elewa maisha huwa yanabadilika kipindi hiki mungu kakushikia fanya maendeleo hata baadae yatakusaidia hayo si unajua maisha kama unavyoona siku hazigandi sawa kaka mungu azidi kukujaalia uzidi fanikiwa kila mtu anakula jasho lake wewe usijali walimwengu ni wakuwazoea waswahili midomo yao kuharisha ni vitu vya kawaida yao hawawezi acha asili yao na wanaoongea sana hao ni wachawiiiiiiiii!!!!!watajijuuuuu ok byeee is me baby nawakilishababynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-35576737067231782312010-02-08T12:17:13.226+03:002010-02-08T12:17:13.226+03:00Yeah Bro Kanumba your write also dis motto pia &qu...Yeah Bro Kanumba your write also dis motto pia "If you judge people,you have no time to love them By Mother Thresa RIP"Soo kaka jibu unalo sawa W'zAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-34757070067120952132010-02-08T11:59:29.675+03:002010-02-08T11:59:29.675+03:00sAFIIIIIIIIIIII sana kaka na hongera kwa kuenjoy n...sAFIIIIIIIIIIII sana kaka na hongera kwa kuenjoy na ujue kuwa we ni mtu mwingine hadi kupata chance kama hz ktk maisha,good keep it up, usijali sana maneno ya watu hayo huwa hayakosekani ni lazima yawepo tu we songa mbele tu.
am happy 4 u.BQnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-90300505939763471692010-02-08T03:03:18.672+03:002010-02-08T03:03:18.672+03:00Kaka Kanumba,nadhani hakuna haja ya maelezo. Nadha...Kaka Kanumba,nadhani hakuna haja ya maelezo. Nadhani hao wanaopiga kelele aha English, mara nini huna haja ya kuwajibu. Cha msingi wewe endelea kujiendeleza na Lugha, hasa kuongea. Mimi nilifuatalia sana comments za watu hadi nikahamua kuangalia Video kwenye youtube, nadhani uliongea kama watanzania wengine tunavyoongea. Cha msingi kaka yangu wewe piga kazi. English siyo lugha yako ya kwanza. Ukweli ni kuwa unayo "heavy accents" nadhani ni mazoezi tu, halafu unatumia sana consonant + vowel vibaya, ndiyo hayo tu kaka.

Mdau

USAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-36844752030313996372010-02-08T02:31:27.113+03:002010-02-08T02:31:27.113+03:00Kanumba mbona yaliyaisha mbona unaanza malumbano m...Kanumba mbona yaliyaisha mbona unaanza malumbano mengine,kumwaga yai alifanyi mtu ashidwe kuwasiliana.Anonymousnoreply@blogger.com