tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post1167248364406240060..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: HII SI YA KUKOSA JAMANI MWANZONI MWA MWEZI WA SITA TU PITA DUKANI UCHUKUEsteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-9579941031630288402010-05-07T11:39:40.760+03:002010-05-07T11:39:40.760+03:00what?? kanumba na wema,duh yani umenifurahisha san...what?? kanumba na wema,duh yani umenifurahisha sana hii si kitu ya kukosa.my gal wema,nawapenda sana mkiwa na wema katika movie mwaahhh!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-21587320881478091862010-05-07T11:20:43.617+03:002010-05-07T11:20:43.617+03:00mh inapendeza,
napenda sana kanumba uwe sambamba n...mh inapendeza,
napenda sana kanumba uwe sambamba na wema, mkiact pamoja mnapendeza sana, hata kipindi mpo wapenzi mlipendeza jamani! ila watu tu ndo walio waharibia,

mi kiukweli kabisa nampenda sana wema jamani,jinsi anavo-act,alivomzuri hakuna mpz wa kanumba atakaekuwa mzuri na kumpendeza kanumba kama wema, na anamvuto kuanzia saut,shep,mavazi yanamkaa,yaani hutachoka kumwangalia,

kumchukia wamchukie ila binti anasifa zote.nafurahi kusikia ameact na wewe tena.hakuna msichana atakae kupendeza kama wema bro,
ntaitafuta mpaka bac.

aisha frm tbt.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-24479715973911414432010-05-07T10:34:43.047+03:002010-05-07T10:34:43.047+03:00kwenda huko?/usije ukawa umeiga ile yaNigeria? hi...kwenda huko?/usije ukawa umeiga ile yaNigeria? hivi hao wanaigeria ndio kina nani? haya basai nawao wameiga wapi? acheni roho za kwanii,jamani pendeni chenu lolooo.
Big up kanaumba kweli unajali kazi, uko na wema tena. kuna siku niliandika comment usimpoteze wema, kwani muvie zenu zinafunika kichizi. Big up kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-78955297980341867232010-05-06T19:47:10.119+03:002010-05-06T19:47:10.119+03:00Wewe umeshtukia eeee, lakini ndo hivyo tena tutaen...Wewe umeshtukia eeee, lakini ndo hivyo tena tutaendelea kukusupport Kanumba maana tunakupendaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-42066856001883882142010-05-06T14:57:46.991+03:002010-05-06T14:57:46.991+03:00mh usije ukawa umeiga ile ya Nigeria inaitwa Black...mh usije ukawa umeiga ile ya Nigeria inaitwa Black MariaAnonymousnoreply@blogger.com