tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post1521129534926296678..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: Mhhhh!! Humu kunani tena?steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-17648368660922922582010-02-25T09:12:52.035+03:002010-02-25T09:12:52.035+03:00yeah Aisha yupo Right, me nakufagilia sana Kanumba...yeah Aisha yupo Right, me nakufagilia sana Kanumba kwa Movie zako ni nzuri kiukweli ntaitafuta hiyo inayokuja, mana mm huwa nikiona cover lina picha yako tu ndy nanunua otheriwise sinunui, nakuadmire sana, keep it up, sasa narudi kwenye suala la blog yako, ni kweli mara nyingi huwa naingia kwenye blog yako ila naona mambo ni yale yale hakuna habari mpya habari moja inakaa zaidi ya wiki najua upo busy ila jitahidi kutufurahisha washabiki wako my Bro. poa poa Mungu wangu na akutangulie katika kazi zako.

Furaha wa mabibo EngoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-49302950631342325222010-02-20T18:07:10.921+03:002010-02-20T18:07:10.921+03:00umo kuna movie kaliiii sana inakuja uo ndio mtazam...umo kuna movie kaliiii sana inakuja uo ndio mtazamo wanguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-63107110889866193962010-02-20T13:26:18.532+03:002010-02-20T13:26:18.532+03:00hongera sana kanumba,
na mimi ni mpezi sana wa glo...hongera sana kanumba,
na mimi ni mpezi sana wa glob yako, ila unaniboa kitu kimoja,

Mtu akifungua blog yako atakuta habari leo mfn tar, 20/02/10, hizo taarifa zitakaa kama wiki nzima, jaribu kutafuta habari bwana, na so lazima uweke wasanii tupu, no kuna vitu vingi hata mitaani kuna mambo mengi, ili mtu hata akifungua anajua atakuta kitu kipya, but hii ya bba na swahiba wako ray kama wiki sasa du! ni hayo tu wangu.

aishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-6267791678756621342010-02-17T04:27:45.580+03:002010-02-17T04:27:45.580+03:00HONGERA SANA KWA USHINDI KANUMBA . NENDA KAJIONEE ...HONGERA SANA KWA USHINDI KANUMBA . NENDA KAJIONEE GLOBALPUBLISHERSTZ.COM. ULIVYOPATA MAKURA . DHIDI YA SWAHIBA WAKO. ILA NAYE ANAJITAHIDI. HONGERENI WOTEAnonymousnoreply@blogger.com