tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post2175891254864278009..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: SHOW YA PILI UWANJANI GOMA-CONGOsteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-62023726457228099672011-01-10T10:14:26.865+03:002011-01-10T10:14:26.865+03:00jamani wasanii mnatakiwa muende shule mkajifunze m...jamani wasanii mnatakiwa muende shule mkajifunze mavazi ya kuvaa wakati gani na kipindi kipi! kwa kweli kazi nzuri mmeifanya congo but mavazi ya hao wadada!!! katika kwenda mahali kuonesha choo wadada wavae mavazi ya heshima pale kuna wababa watoto etc na waheshimiwa hatupendi kutangaza tanzania ya wahuni bse hayo mavazi ni ya kichangudoa wakiwa mawindoni nendeni shule mkajue nyakati na majjira ya mavazi yenu, tena mngetilia mabatiki bazee magauni makubwa mnge pendeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-84763025212678266952010-12-29T10:11:44.656+03:002010-12-29T10:11:44.656+03:00Yes bro! Off Side ni nzuri ila punguzeni malovee! ...Yes bro! Off Side ni nzuri ila punguzeni malovee! mkiingia kitandani tu mkatishe, tunaangalia na watoto wetu, mpaka mtoto wa miaka 5 ajue baba na mama wanafanyaga nini kitandani. Si unajua watoto wa siku hizi hawakawii kukuuliza. Otherwise Big up kwenu.Mama 2noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-53072905072061727992010-12-29T02:09:51.156+03:002010-12-29T02:09:51.156+03:00jamani vivazi loljamani vivazi lolAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-82338045382006097852010-12-28T19:41:53.229+03:002010-12-28T19:41:53.229+03:00Nimekosa la kusema kwani kwa picha hizi nimejionea...Nimekosa la kusema kwani kwa picha hizi nimejionea mwenyewe jinsi hali halisi ilivyokua. Mugu azidi kuwaongoza wadau kazi zenu zisonge mbele...<br />Albert<br />WAAlberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-61065781943925432482010-12-27T19:34:53.136+03:002010-12-27T19:34:53.136+03:00safi sana ila dada zetu mavazi jamani..hebu ona hi...safi sana ila dada zetu mavazi jamani..hebu ona hicho kikaptula cha aunty dah jamani kweli mwisho wa dunia..kwani wangejistiri wanakuwa wabaya au mpaka wakae nusu uchi ndo tujue wazuriAnonymousnoreply@blogger.com