tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post2251482051855205794..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: THE GREAT ZIARANI SHINYANGA NA OXFAM...steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-76536330982572002412011-06-12T15:43:52.278+03:002011-06-12T15:43:52.278+03:00ndio hapo uone tanzania baadhi ya mikoa watu wanap...ndio hapo uone tanzania baadhi ya mikoa watu wanapata shida sn ya chakula alafu mafisadi wanaachiwa tu na serikali kuchekezea kwa mambo mengine yasiyo ya msingi baada ya kuwasaidia watu kama kawaa kwa kweli inaumaa sanaa acha tu <br /><br />meggie impostraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-44413422985825110442011-05-25T15:57:08.856+03:002011-05-25T15:57:08.856+03:00kwa kweli inasikitisha sana hongereni sana kwa kut...kwa kweli inasikitisha sana hongereni sana kwa kutembelea maeneo hayo na kutujunza maisha ya watanzania wenzetu,asanteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-61254798376499802732011-05-25T14:42:40.528+03:002011-05-25T14:42:40.528+03:00dah! kiukweli hizi picha zimenitoa machozi.hayo ma...dah! kiukweli hizi picha zimenitoa machozi.hayo maisha nayajua vizuri nimeyapitia na 99% ya ndg zangu ndo hali zao hizo.eeh Mungu muumba wa mbingu na nchi nusuri waja wako na pia tupe viongozi wenye utu na busaraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-39262047344339075182011-05-25T10:09:11.316+03:002011-05-25T10:09:11.316+03:00Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akut...Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akutie nguvu katika kuyatenda hayo jamani, ukiwa mjini huwezi kujua ni jinsi gani watu nwanateseka huko vijijini kwa kweli, yani umetufurahisha sana wewe kama msanii una uwezo mkubwa wa kufanya hata movie ambayo itaihamasisha serikali katika kuchangia njaa hii jamani.Mungu akubariki sana na akutie nguvu siku zote.Hakika Ubalozi unakufaa kaka wewe, na unafana na kazi yako, fanya kila njia kuielimisha jamii na hata serikali katika hili.Tutakusupport kabisa.X-tina Jnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-53301005887338092902011-05-25T10:08:38.661+03:002011-05-25T10:08:38.661+03:00Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akut...Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akutie nguvu katika kuyatenda hayo jamani, ukiwa mjini huwezi kujua ni jinsi gani watu nwanateseka huko vijijini kwa kweli, yani umetufurahisha sana wewe kama msanii una uwezo mkubwa wa kufanya hata movie ambayo itaihamasisha serikali katika kuchangia njaa hii jamani.Mungu akubariki sana na akutie nguvu siku zote.Hakika Ubalozi unakufaa kaka wewe, na unafana na kazi yako, fanya kila njia kuielimisha jamii na hata serikali katika hili.Tutakusupport kabisa.X-tina Jnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-29884976416001052042011-05-25T10:07:35.254+03:002011-05-25T10:07:35.254+03:00Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akut...Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akutie nguvu katika kuyatenda hayo jamani, ukiwa mjini huwezi kujua ni jinsi gani watu nwanateseka huko vijijini kwa kweli, yani umetufurahisha sana wewe kama msanii una uwezo mkubwa wa kufanya hata movie ambayo itaihamasisha serikali katika kuchangia njaa hii jamani.Mungu akubariki sana na akutie nguvu siku zote.Hakika Ubalozi unakufaa kaka wewe, na unafana na kazi yako, fanya kila njia kuielimisha jamii na hata serikali katika hili.Tutakusupport kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-84506794286237121932011-05-25T10:06:06.582+03:002011-05-25T10:06:06.582+03:00Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akut...Hongera sana kaka kwa moyo wako, hakika Mungu akutie nguvu katika kuyatenda hayo jamani, ukiwa mjini huwezi kujua ni jinsi gani watu nwanateseka huko vijijini kwa kweli, yani umetufurahisha sana wewe kama msanii una uwezo mkubwa wa kufanya hata movie ambayo itaihamasisha serikali katika kuchangia njaa hii jamani.Mungu akubariki sana na akutie nguvu siku zote.Hakika Ubalozi unakufaa kaka wewe, na unafana na kazi yako, fanya kila njia kuielimisha jamii na hata serikali katika hili.Tutakusupport kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-20188601672718253282011-05-24T01:43:04.555+03:002011-05-24T01:43:04.555+03:00kaka, Mungu akutie nguvu ktk hizi harakati maana b...kaka, Mungu akutie nguvu ktk hizi harakati maana bila mkono wake hakuna litakalofanyika. usikate tamaa, endelea kuwa na moyo huo wa kuwa sauti ya wanyonge na maskini. kila la kherigosbetynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-91230456219361662692011-05-23T10:35:07.842+03:002011-05-23T10:35:07.842+03:00i believe all are possible ila serikali yetu jaman...i believe all are possible ila serikali yetu jamani inatia aibu sana.mashangingi wanayo endesha gharama zake zingeweza kusaidia vijijini.tatizo watanzania tumekuwa wabinafsi sana.hao watoto hawawezi kufanya vizuri darasani sababu wanakosa lishe bora.hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania kwa kukosa mlo kwa siku.sijui kama tutafika.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-63190854959103067042011-05-22T19:15:21.825+03:002011-05-22T19:15:21.825+03:00kazi nzuri kanumba mungu akubariki endelea kuwasai...kazi nzuri kanumba mungu akubariki endelea kuwasaidi hawa watu wa vijijini na mungu atakuongezea na kukubariki asnteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-82878962929692638072011-05-22T16:44:52.228+03:002011-05-22T16:44:52.228+03:00Hakika inasikitisha sana!! na ukweli hili ndio tat...Hakika inasikitisha sana!! na ukweli hili ndio tatizo kuu la kwe2 na unashngaa kuona viongozi wanapoteza muda kwa malumbano yasonamana na wanaacha wajibu wao wa msingi hakika inasikitisha na kukatisha tamaa na ukweli uwezo wa kujumuika pamoja kama watanzania na kuhakikisha familia zisizo na uwezo zinawezeshwa angalau kwa mlo inawezekana basi tungeweka kuwa hii ndio ajenda ye2 kubwa kuliko ajenda yeyote ile.Mbona mambo yaso nalazima tunaweza kuyafanya mpaka wa2 wa duniani wakashangaa na uwezo we2. kwann tushindwe na hili. Udhati nakupongeza kwa kukubali kuwa balozi mana nahisi roho yako inaendana na kazi ulopewa yaani mtumishi wa watu kwa ajili ya wa2 lakini pia ni fursa itayokupatia ujuzi utakaokusaidia kwenye shughuli zako za kila siku za utengenezaji wa filamu na kuelimisha. Mungu awape nguvu za kusaidia utatuzi wa matatizo ya jamii inaowazunguka. "PANAPO NIA PANA NJIA"Anonymousnoreply@blogger.com