tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post2511563396382760540..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: IN ACCRA-GHANA.......................steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-19883619850707376222011-11-08T15:17:35.831+03:002011-11-08T15:17:35.831+03:00nadhani kaka umepewa maoni mazuri sana na yakitole...nadhani kaka umepewa maoni mazuri sana na yakitolewa kama hivi ni vizuri uka-acknowledge hata kama hutayafanyia kazi. mtu anafurahi kuona kwamba kanumba ame-acknowledge comment yake. wenzetu wanakuwa na publicity managers wakuweza kuangalia kuna nini kwenye habari,kwenye blog nk sasa kama hatujafika hapo basi kaka jitahidi kuangalia na kufanyia kazi comments ulizopewa. tunakupenda ndo maana tunatumia muda wetu kutoa maoni. asanteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-35776026958722832532011-11-08T12:35:26.911+03:002011-11-08T12:35:26.911+03:00hongera kanumba. endelea kuwa positive. mad lovehongera kanumba. endelea kuwa positive. mad loveAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-45461867131484433602011-11-05T16:47:48.361+03:002011-11-05T16:47:48.361+03:00vipi mambo ya umeme huko kama bongo au ni bata tu ...vipi mambo ya umeme huko kama bongo au ni bata tu full time?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-69843462935913495212011-11-04T14:13:39.307+03:002011-11-04T14:13:39.307+03:00yeees dis is what i was dreaming abt
keep it up u ...yeees dis is what i was dreaming abt
keep it up u shining stars of tz!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-47120396999255508392011-11-04T13:20:25.415+03:002011-11-04T13:20:25.415+03:00shummepiga hatua sana kaka ila wewe ni kiburi siku...shummepiga hatua sana kaka ila wewe ni kiburi siku zote haujibu msm za watu humu blogini,nimetoka kuangalia muvie yako because of u ni nzuri mmejitahidi ila vimakosa vidogo vidogo,kweli scene fupi fupi nimependa sana hata devil kingdom nayo mmefanya vizuri ila tatizo lako hamtaki kukubali kukosolewa ili upone na uendelee na kazi nzuri kubali yote hauna maadui ila unahisi wanaokukosoa ni maadui zako ni Hapana wanapenda maendeleo yako ndiyo maana wankuambia,all in all mnafanya vizuri kwenye fani big upAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-87154072441746960572011-11-03T16:08:01.284+03:002011-11-03T16:08:01.284+03:00Hongera broo tunakuombea wewe na Mona muwakilishe ...Hongera broo tunakuombea wewe na Mona muwakilishe vizuri.Esther kanda ya ziwa.noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-27293411016806085162011-11-03T16:06:42.465+03:002011-11-03T16:06:42.465+03:00Waliopa US wakusaidie nini?ukitaka information una...Waliopa US wakusaidie nini?ukitaka information unaingiz kwenye internet una google hilo jina
Acha ushamba ,unatakiwa kuwa mjanja bwanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-805058529046453022011-11-03T11:49:29.119+03:002011-11-03T11:49:29.119+03:00Steve, Unajua bongo si wote wanakuponda, wengine w...Steve, Unajua bongo si wote wanakuponda, wengine wanajaribu kukushauri ila wewe unatafsiri tofauti yaani chuki! Hakuna akuchukiaye ila watu wanataka ufike mbali, maigizo yako yafanane na ukweli, wenzako huko Ghana na Nigeria wako mbali sana katika uigizaji, iga mfano wao!!! Wewe inaonekana hautaki kujifunza kupitia watu, hamna ajuaye kila kitu, haiwezekani wewe huyo huyo ndio main character huyo huyo Director, waachie wenye fani hiyo wafanye kazi yao, mfano mzuri ni mnapoigiza movie za kibongo mavazi yenu hayafanani na mazingira unayoigizia, unaigiza uko ofisini umevaa mavazi yenu yale ya kung'aa kama wacongoman wa muziki!! Badilikeni sisi tupo nyuma yenu, unaigiza uko serious ofisini unamiliki biashara kubwa na contacts kubwa tu halafu sikioni hereni!! Hizo ni movie za America sio bongo!!! Umevaa suti unaenda kazini suti yenyewe za wanamuziki maua kibaooooooo, angalieni wenzenu hata Kenya muone tofauti.

Nimeandika haya kwa ushauri tu kwakuwa napenda mfike mbali katika tasnia ya filamu.

Ni hayo tu kaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-2413975461896787552011-11-03T11:43:19.724+03:002011-11-03T11:43:19.724+03:00kaka hongera sana nakukubali kwa sna yaani kila ni...kaka hongera sana nakukubali kwa sna yaani kila nikianga wakati unatoka na na filam ya johari na sikitiko langu naona umepiga hatua kubwa sna kuelekea mafanikio ya kina will smith kaka, big up kwa hilo wanaoponda waache waponde mafanikio ni yako na tanzania hili coz wewe ni mmoja wa wawekezaji wakubwa kwani umeweza kutoa ajira kwa wasanii wachanga. Its Me Johnson Matembo Mtanzania Mzalendo.dogojohnsonhttp://dogojohnson.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-21206053246225166522011-11-02T22:07:10.217+03:002011-11-02T22:07:10.217+03:00Mbona sijaona big names kwenye hiyo shooting?? Wh...Mbona sijaona big names kwenye hiyo shooting?? Where is John Dumelo? Where is Van Vicker, Where is NAdia and the rest.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-39994190516896970122011-11-02T22:06:27.461+03:002011-11-02T22:06:27.461+03:00Kanumba hacha hizo; umeenda mahali siku mbili tu u...Kanumba hacha hizo; umeenda mahali siku mbili tu unasema hawana majungu. Are you sur?. Mi navojua waafirka woote ndo tulivyo.

Hata wadhungu wana majungu ya staili yao.

Binadamu ni wagumu kaka yangu si Tz tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-12602191128952531952011-11-02T14:27:22.500+03:002011-11-02T14:27:22.500+03:00Ni balaa jamani!cha msini na wewe ujifunze mambo m...Ni balaa jamani!cha msini na wewe ujifunze mambo mazuri hapo sasa hapo angekuwepo uwoya oh ni balaa!GOD BLESS YOU KILA MARA MSHUKURU MUNGU KWA HAYO YOTE AKUTENDEAYO KILA SIKU.Happy Ole Ngambi.noreply@blogger.com