tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post3147064881548963077..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: THE GREAT NDANI YA MWANZA NA STARTIMES....steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-88061871199326708262011-12-09T02:44:41.175+03:002011-12-09T02:44:41.175+03:00Big up bro. Uendelee na moyo huo wa upendo. Mungu ...Big up bro. Uendelee na moyo huo wa upendo. Mungu akubariki, nategemea wasanii wenzako watafuata mueleko wako.Hope to c u again California...fanhttps://www.blogger.com/profile/07608657286432280260noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-60312515108872118862011-12-08T22:41:39.098+03:002011-12-08T22:41:39.098+03:00kwa kweli nilipo muona huyomama namaneno uliyosem...kwa kweli nilipo muona huyomama namaneno uliyosema kwa kweli nimelia mungu atakubariki .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-34627151621969962032011-12-07T23:18:02.422+03:002011-12-07T23:18:02.422+03:00ni kweli mpendwa, kwa nini hatupendani binadamu? u...ni kweli mpendwa, kwa nini hatupendani binadamu? ukiuliza msanii gani unampenda utaambiwa willy smith na wengine wa marekani kwa nini hatuwakubali wakwetu? tupendane wapendwa.kokusimahhttps://www.blogger.com/profile/14854756803139003964noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-9663660096937977612011-12-06T20:29:57.152+03:002011-12-06T20:29:57.152+03:00pole kaka kanumba maneno yako uliyeyasema juu mama...pole kaka kanumba maneno yako uliyeyasema juu mama mlemavu yamenigusa sana wewe kanumba endelea na kazi yako na utaendelee kubarikiwa maana roho yako ni nzuri na unasaidia wasio jiweza usiwajali wenye roho za kwa nini kwani aliyepewa kapewa tu hata wafanyaje wenye chuki hazitasaidia kitu big up kanumba nakupenda sanaAnonymousnoreply@blogger.com