tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post4706788506082004082..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: NIKAELEKEA WILAYA YA KISHAPU-SHINYANGAsteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-84054501524049518492011-06-03T15:13:34.368+03:002011-06-03T15:13:34.368+03:00hata mm umenifanya nitoe comment katika blog yako....hata mm umenifanya nitoe comment katika blog yako....ni vizuri sana mabvyo kwa sasa utakuwa na reality ya maisha ya mwananchi wa kawaida wa kijijini yaani unaishuhudia kwa uhalisi wake...hii ikusaidie pia katika kuandaaa movie ambazo zinalenga kuonyesha maisha ya namna hii na ambzo pia story zake tungependa sana kuziona na kuzisikia pia....maisha kama haya hayaonyeshwi au kama yanaonyeshwa ni kwa kiasi kidogo sana..watengeneza movie wengi wa kitanzania mnaamini kuwa mitengeneza movie yenye kuonyesha mazingira haya haiwezi kupata soko..hii si kweli kabisa tunataka kuona na kusikia pia story za namna hii kwani ndio asilimia zaidi ya 80 ya watanzania ndio wako katika maisha haya...nakupa pogezi kwa kazi yako na keep it going!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-53179256671545859632011-05-29T00:17:01.396+03:002011-05-29T00:17:01.396+03:00very very very nice Steven!! Nashukuru kwa kazi un...very very very nice Steven!! Nashukuru kwa kazi unayofanya na naomba Mungu wakazi wa hapo wapate msaada. Ubarikiwe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-88538245678452086352011-05-26T09:52:58.967+03:002011-05-26T09:52:58.967+03:00Ur forcing me to comment on ur blog, i luv watoto ...Ur forcing me to comment on ur blog, i luv watoto a lot, being a star halafu geting a chance kuwa na watoto wa aina hii means a lot 2u na kwao pia, ur adding value kwenye maisha yao hata usipowapa chochote, jst being around them and talking to them means a lot to them, u inspire them! GOD BLESS U DEAR, KEEP ON DOING THESE COMMUNITY WORKS,IT PAYS A LOT, not in monetary form but i tel u, IT ADDS VALUE IN UR LIFEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-81884651077241731112011-05-26T02:12:45.267+03:002011-05-26T02:12:45.267+03:00mungu awasaidie!!!! Aminmungu awasaidie!!!! AminNiyonzima Salumhttps://www.blogger.com/profile/02431054575574538136noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-9911414935395926772011-05-25T13:05:16.162+03:002011-05-25T13:05:16.162+03:00hi,kwanza kabisa nakpa pongezi saana kaka yangu ka...hi,kwanza kabisa nakpa pongezi saana kaka yangu kanumba huwa nakuombea Mungu sikuzote akuzidishie baraka tele ktk shughuli zako zakila siku zakimaendeleo pia usijali maneno ya watu wasio na busara wala shukrani kila siku wao nikulaumu tuu na hawaoni unayoyatenda ila mwenyenzi Mungu anaona yoote.na anaujua moyo wako kwa dhati so mwanadamu asikukwamishe wala kukutisha,songambele kaka,mimi napenda saana kazi zako na una upendo kwa jamii,ubarikiwe sana ktk jina la yesu pokea baraka zote ziambatane nawepopote uendapo.amen.mimi dada yako niko ugaibhuni huku,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-39759179760562340362011-05-23T15:17:38.553+03:002011-05-23T15:17:38.553+03:00Nakupa hongera kaka kwa kujituma kaza buti hivyo n...Nakupa hongera kaka kwa kujituma kaza buti hivyo ndiyo inavyotakiwa na Mungu akubarikikatarinanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-66714271812669905692011-05-23T07:27:17.939+03:002011-05-23T07:27:17.939+03:00we love uwe love uAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-83036953691470248642011-05-23T07:22:59.017+03:002011-05-23T07:22:59.017+03:00we love youwe love youmknoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-27302023437992538222011-05-23T07:21:08.557+03:002011-05-23T07:21:08.557+03:00thats true steven watoto wanaweza kukutoa kwenye h...thats true steven watoto wanaweza kukutoa kwenye huzuni ukatabasamu hivyo lazima tumake the world a better place for them.Steven,it seems ume experience matatizo sana in your childhood!pole sana<br /> we love you sanamariamnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-52480928109086942562011-05-23T07:15:56.310+03:002011-05-23T07:15:56.310+03:00thats true steven,watoto wanaweza kukutoa kwenye h...thats true steven,watoto wanaweza kukutoa kwenye huzuni na kukufanya usmile hawawezi kukuumiza.it seems udogoni uliteseka some how ee!pole,<br /> we love you so muchAnonymousnoreply@blogger.com