tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post5514965765477983600..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: KANUMBA THE GREAT FILMS KAZINI KWELIKWELI.steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-8300754116424375492010-06-19T11:41:40.733+03:002010-06-19T11:41:40.733+03:00Jamani kumbe Ali Yakuti ni hensome Kanumba naaom...Jamani kumbe Ali Yakuti ni hensome Kanumba naaomba uniulizie hanamke nimuozeshe mwananguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-72996445671595068282010-06-19T02:34:10.308+03:002010-06-19T02:34:10.308+03:00Sasa yeye akale wapi ? na hio ndio kazi yakeSasa yeye akale wapi ? na hio ndio kazi yakeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-76608740918959628152010-06-19T02:13:10.495+03:002010-06-19T02:13:10.495+03:00.
Hee hata viatu alivyovaa unamchunguza ndiomaana ....
Hee hata viatu alivyovaa unamchunguza ndiomaana hatuendelei sie waswahili.

hee hata viatu aAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-62962784294489057232010-06-14T19:46:37.835+03:002010-06-14T19:46:37.835+03:00mmmhhhhhhhhhhhh!m2 wangu umezidi hata viatu vya mt...mmmhhhhhhhhhhhh!m2 wangu umezidi hata viatu vya mtu unakariri?duh!ndio maana watz hatusongi mbele badala ya kufanya mambo ya maana tunakaa kumaindiana,acha hizo,usitaarabu hauuzwi hata kama hujazaliwa nao jaribu kuiga hata kwa washikaji kitaa.kanumba mpotezee huyo asije kukuharibia cku bure.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-24551726514582416722010-06-10T22:22:27.332+03:002010-06-10T22:22:27.332+03:00Anony wa June 9, 2010 7:15 PM
Unajua maana ya u su...Anony wa June 9, 2010 7:15 PM
Unajua maana ya u super star? ukiwa s.star tunakuangalia from top to toe. na sio kuishia kuangalia tu tunavikariri vyote unavyo vaa. sasa unaposema tunamchunguza unakosea kama alikuwa anataka watu wasimuangalie asingechagua kazi hii anayoifanya. hiyo ndio price for being super star.mrembonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-65580442173490887222010-06-10T15:54:47.175+03:002010-06-10T15:54:47.175+03:00kweli ukweli lazima kusema,wacha kumpa sifa ambazo...kweli ukweli lazima kusema,wacha kumpa sifa ambazo sio sahihi,hizi sendoz kapiga nazo picha sana humu humu kwenye blog yake,wewe unaonekana sio shabiki wa kweli,au ni wewe kanumba umejiandikia mwenyewe,shabiki wa kweli kama mimi ninayenunua kazi zake kila zinapotoka uwa tunaona mengi kuliko wewe unaye pitia blog tu humu.
na kama unaangalia movie nyingi za mtu unagundua mavazi yake,
na kama unataka maendeleo kwa star u better tell him ili abadilikie,
kama swala la kuweka dawa linavuonichosha,kila movie mwanaume kaweka dawa tena zimekoozaaaaaaa.
lol tunawapenda sana lakini mbadilike kwenye kila movie na nguo mnazozivaa mtaani msizivae kwenye movie.kama haujaipenda ipotezeeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-81668156432671271002010-06-10T15:34:46.499+03:002010-06-10T15:34:46.499+03:00Jamani Maya ndio nn kunenepa hivyo jamani my dia k...Jamani Maya ndio nn kunenepa hivyo jamani my dia khaaaaaaaaaaa. Njaa ikija tanzania ndio nyie mtaanza kuliwa nyama utazeeka my dia punguza msosiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-5877563873427558702010-06-09T19:15:15.009+03:002010-06-09T19:15:15.009+03:00tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uk...tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uko chin maana aliyekuwa juu kumuangalia aliye kuwa chin ni kazi mhmh wewe ni noma yaan hadi viatu haha kweli kazi hauna acha mambo kmba hayo songa mbele kanumbaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-35229211583589434792010-06-09T19:15:15.010+03:002010-06-09T19:15:15.010+03:00tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uk...tuseme unamchunguzanga sana tu wewe kweli uko chin maana aliyekuwa juu kumuangalia aliye kuwa chin ni kazi mhmh wewe ni noma yaan hadi viatu haha kweli kazi hauna acha mambo kmba hayo songa mbele kanumbaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-51148051881675601002010-06-09T17:32:33.456+03:002010-06-09T17:32:33.456+03:00kaka nakukubali..keep it upkaka nakukubali..keep it upsleekjackhttps://www.blogger.com/profile/05665747871702604737noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-51266299178256467122010-06-09T15:08:02.118+03:002010-06-09T15:08:02.118+03:00kanumba acha uvivu hizo sendos zako tunazijua kila...kanumba acha uvivu hizo sendos zako tunazijua kila siku unazivaa kwa nini umezivaa kwenye movie,mnaboa sana kwa kulipua ninyi wasaniiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-78535033575132220302010-06-09T11:33:31.404+03:002010-06-09T11:33:31.404+03:00USHAURI KWA KANUMBA.
Jitahidi kuweka interval ya ...USHAURI KWA KANUMBA.
Jitahidi kuweka interval ya muda kati ya kazi moja na nyingne,usitoe kazi mfululizo kiasi hicho,uwe unaacha filamu moja ikae sokoni walau miezi sita ndipo utoe nyingine hii itakusaidia kufanya analysis mbalimbali ya kazi yako sokoni,na pia utawafanya mashabiki wako wawe walau wanakumiss kidogo hata unapotoa kazi nyingne wanaitafuta kwa hamu.
Hii itakusaidia wewe kudumu kwenye fani muda mrefu bila kuchuja.
Faida ya kutoa kazi mfululizo ni ya muda fupi ni siyo ya muda mrefu.
Jitahidi kuzingatia hili for ur lifetime achievments,hayo makampuni mnayofanya nayo kazi yasiwa over-use.
Nihayo tu kwa leo.
BE BLESSED.Anonymousnoreply@blogger.com