tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post5558983148697416734..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: FILAMU YA UNCLE JJ YAINGIA MTAANI KWA KISHINDO YAVUNJA REKODI YA THIS IS ITsteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-73683829582091977642010-11-30T17:44:37.623+03:002010-11-30T17:44:37.623+03:00Je, sisi wa huku ughaibuni tutaipata vipi hiyo mov...Je, sisi wa huku ughaibuni tutaipata vipi hiyo movie jamani? Wiki iliyopita niliiagiza bongo nikaambiwa bado haijatoka, kumbe ndo imetoka sasa. Tufanyieni mpango na sisi wa huku ughaibuni tuwe tunazipata hizo movies kwani tunapenda kuziangalia pia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-42073034362276148852010-11-30T14:19:25.950+03:002010-11-30T14:19:25.950+03:00Kwani Uncle JJ ilikuwa haijatoka mbona mimi nimeio...Kwani Uncle JJ ilikuwa haijatoka mbona mimi nimeiona siku nyingi au imekuwaje wajameni????????????????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-835935633830324682010-11-30T13:20:14.743+03:002010-11-30T13:20:14.743+03:00Yaani hii ndo nilikua nasubiriya kwa hamu kaka, ki...Yaani hii ndo nilikua nasubiriya kwa hamu kaka, kila siku nilikua niko hewani nikisubiria kuona posta la Uncle JJ.<br />Hongera sana Bro mengi zaidi tutaongea kwenye simu.<br />Hongera sana...<br />Albert<br />Australia.Alberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.com