tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post5746330768148376315..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: SIKU ILIYOFUATA THE GREAT NA TUVI JAMES TULIALIKWA KUTEMBELEA OFISI ZA MNET NA AFRICA MAGIC.steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-43854418231506655242010-02-15T16:43:19.653+03:002010-02-15T16:43:19.653+03:00BAC BWANA HAYAISHI TU WE MWANAUME ENDELEA KUPIGA K...BAC BWANA HAYAISHI TU WE MWANAUME ENDELEA KUPIGA KAZI ACHANA NA MASHAIRI HAYALIPI HAYO YALISEMWA NA YAMEPITA RELAXXXXXXXXXAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-54467986205280173812010-02-15T16:42:12.140+03:002010-02-15T16:42:12.140+03:00Kanumba yaani wewe ni mzuri sana nikikuona uwa nac...Kanumba yaani wewe ni mzuri sana nikikuona uwa nachanganyikiwa kabisa.
Ila ukiacha kuvaa hayo mapete yakon makubwa kama ya kusafisha nyota,utatupagawisha madada wengi zaidiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-67101210464197732572010-02-12T18:54:42.415+03:002010-02-12T18:54:42.415+03:00dats one step foward bro...piga kazi achana na man...dats one step foward bro...piga kazi achana na maneno ya watu...ukweli ni kwamba bongo hii kwa wanaume unafunika.nyc tymAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-89518625192642347332010-02-11T18:41:33.066+03:002010-02-11T18:41:33.066+03:00Kaka Kanumba, hayo maneno ya watu yachukulie kama ...Kaka Kanumba, hayo maneno ya watu yachukulie kama changamoto kwako. Kwa upande wangu,napenda sana kazi zako, pia nakupongeza kwa mafanikio uliyoyapata hadi sasa. Cha msingi kaka, kama unazo kazi nyingi, basi wakati wa likizo fupi, chukua walau kozi fupi ya Kingereza, kwa ukweli, bado una matatizo ya kujieleza, nadhani unachohitaji ni confidence, pia jinsi ya kutumia Present, Past na future tense...ni hayo tu kaka, nikutakie kazi njema.

Mdau,

SwedenAnonymousnoreply@blogger.com