tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post5938206032636026782..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: ZIARA YANGU HOLLYWOOD(LOS ANGELES)steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-37286889352628203092011-06-12T17:59:55.890+03:002011-06-12T17:59:55.890+03:00aisee ni nomaa umetuletea kitu kizuri sna kanumbaa...aisee ni nomaa umetuletea kitu kizuri sna kanumbaaa i wish wanaoekti filamu za kupigana wabongo wangeenda huko kuona wenzao wanavyofanyaa ingewasidia sana.<br /><br /><br />meggie impostraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-63220396184537666572011-01-28T22:11:36.424+03:002011-01-28T22:11:36.424+03:00sijawahi ku comment kwako kaka yangu leo nacomment...sijawahi ku comment kwako kaka yangu leo nacomment. kiukweli nimependa sana hizi picha zimenifanya ijione kama na mimi nipo holywood lakini kikubwa ni kwamba nimepata elimu , umenitoa tongo tongo sana hasa kwenye green screen. thanxrachel kayuninoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-71205141349024899262011-01-28T13:10:15.115+03:002011-01-28T13:10:15.115+03:00Hongera sana kaka kanumba kwa michezo yako mizuri ...Hongera sana kaka kanumba kwa michezo yako mizuri kwani inaelimisha na kufurahisha, pia nataka nikwambie hiyo background yako ibadilishe kwani inasababisha blog kuwa very slowmisswhitehttps://www.blogger.com/profile/05037238742755290390noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-61033778161823431272011-01-28T11:28:24.128+03:002011-01-28T11:28:24.128+03:00kazi nzuri kaka, asante kwa kutujali wateja wako k...kazi nzuri kaka, asante kwa kutujali wateja wako kwa kuboresha kazi zako. be blessed. GloryGlorynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-29638314950397748962011-01-28T11:14:02.389+03:002011-01-28T11:14:02.389+03:00Mwe kwa wenzetu kunamaajabu, bora umetupa mwanga k...Mwe kwa wenzetu kunamaajabu, bora umetupa mwanga kidogo, maaana ilikuwa giza kikubwa kaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-90831856459222213862011-01-28T10:19:44.281+03:002011-01-28T10:19:44.281+03:00hongera sana kanumba hope umejifunza mambo mengi n...hongera sana kanumba hope umejifunza mambo mengi now ukirudi picha zako zote lazima zitishe ndugu yangu, hongera sana sana, ki ukweli mimi nakukubali wangu, unapiga mzigo. endelea kufanya mambo na mungu atakubariki pia jaribu kusaidia wale ambao hawajiwezi sio kwa kuigiza tu hata watu wakawaida katika jamii.geenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-16904376108117387772011-01-28T09:25:49.236+03:002011-01-28T09:25:49.236+03:00Duh! asante kaka kwa kushare nasi big up sana tuuu...Duh! asante kaka kwa kushare nasi big up sana tuuuuuuuuuuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-35090645754870287172011-01-28T09:01:51.354+03:002011-01-28T09:01:51.354+03:00picha nzuri tunaenjoy tuma zingine zaidi.hii ndo i...picha nzuri tunaenjoy tuma zingine zaidi.hii ndo inatufanya tutembelee blog yako kwa sasaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-27233904833133776042011-01-28T08:16:04.523+03:002011-01-28T08:16:04.523+03:00Bip up Kanumba.... Keep it up! Uko juuu...Bip up Kanumba.... Keep it up! Uko juuu...Anonymousnoreply@blogger.com