tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post6362992072093099376..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: WADAU WENGI WATABIRI SAWIA....HII NI MIMI NA SWAHIBAsteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger19125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-39494565128684237492010-11-19T18:13:21.326+03:002010-11-19T18:13:21.326+03:00uroho umetuzidi fanyeni mzigo huyu inaonekana ni m...uroho umetuzidi fanyeni mzigo huyu inaonekana ni moooto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-49192939602299561422010-11-14T04:53:22.863+03:002010-11-14T04:53:22.863+03:00Hongerini kwa ushirikiano wenu, kwani naamini mtat...Hongerini kwa ushirikiano wenu, kwani naamini mtatoa filamu nzuri ambayo itaonyesha uwezo wenu na naamini itakua imefanyiwa kazi nzuri, kuanzia maandalizi hadi kutoka kwake. Ushauri wangu kwa wasanii wote wa filamu ukiwa na wewe mwenyewe, kumekua na utitiri wa filamu kila mara na nyingi zake hazipati maandalizi ya kutosha kwa hiyo zinaingia sokoni na zinachuja mara moja.. sio movie ambayo inakua na maisha marefu kwenye soko la filamu, na hii inatokana na mapungufu mengi yanayokua kwenye filamu hizo. Ni bora ukatoa filamu moja kwa mwaka mmoja au baada ya miaka miwili au mitatu kuliko kutoa filamu mbili ambazo hazijafanyiwa maandalizi ya kutosha. Kinachotokea ni kwamba, msipokua mnatoa filamu zenye ubora soko lenu litakufa na hasa ukilinganisha na nchi nyingine ambazo zimepiga hatua. Swala sio tuu kuuza Tanzania ni kuuza nje ya Tanzania, na kukaba hilo soko pia. Ni wakati wa kutoa filamu bora na sio bora filamu. Na pia wazo la kushirikisha wadau mbali mbali kabla ya kutoa filamu ni swala la msingi, na wadau hao ni experts wa filamu, na bila kusahau wateja unaowategemea kununua filamu yako. Sio mbaya ukaingia gharama kubwa kutengeneza movie bora, italipa kwani haitatamba mwezi au miezi miwili bali itabaki kua ya muda mrefu, hata vizazi vyetu vitaikumbuka...nyie wote ni mashaidi kuna filamu za zamani kutoka kwa wenzentu za miaka ya 70, 80 na 90 ila bado zinapendwa, na hii inatokana na kuandaliwa kimakini na kwa ubora unaofaa.MARMOhttps://www.blogger.com/profile/01053308617037680088noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-41739703142668791662010-11-12T09:05:48.462+03:002010-11-12T09:05:48.462+03:00Ebwana mie nataka kuhuliza kwa rafiki yangu Ray!!e...Ebwana mie nataka kuhuliza kwa rafiki yangu Ray!!ebwana mshikaji kila mala unakuwa na mashati ya kung'aa mchana usiku,au ndo design mpya make inawezekana mie ndo mshamba.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-26353955147694513592010-11-10T04:34:45.642+03:002010-11-10T04:34:45.642+03:00hello, naona mambo ni bam-bam,big up.hello, naona mambo ni bam-bam,big up.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-55432993883915308552010-11-06T23:13:11.444+03:002010-11-06T23:13:11.444+03:00Ila kitu kimoja bado ,kwenye bongo films ,sehemu ...Ila kitu kimoja bado ,kwenye bongo films ,sehemu nyingi ni za maongezi na ndani ya nyumba kwenye masofa..vile vile bado hamjaweza kuhusisha watu wengi .. sinema zima waigizaji wanaweza kuwa watatu tu ...vile vile its too much high class life ..sidhani kama ukiwa ndani ya nyumba umepumzika especially on sunday uwe umevaa suti kama koffi olmide on stage.Mdau -Hollywood CAnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-86605230984869993182010-11-06T13:34:47.723+03:002010-11-06T13:34:47.723+03:00lakini huyu JB si aliseema kufanya kazi nje ya kam...lakini huyu JB si aliseema kufanya kazi nje ya kampuni yake ni marufuku sasa hapa inakuaje?au kampuni yake ndio waandaji wa hio movie?au njaaa tu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-79649441795123961822010-11-06T08:53:41.704+03:002010-11-06T08:53:41.704+03:00Nyie vijana sasa oeni maana muda unazidi kuondoka ...Nyie vijana sasa oeni maana muda unazidi kuondoka na nyie hatuwasikii mkitangaza nia vibaya namna hiyo visura mbona wengi..........Kizito!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-76515712511211114122010-11-05T12:09:22.392+03:002010-11-05T12:09:22.392+03:00i cant wait to watch this movie bt aunt ezekiel is...i cant wait to watch this movie bt aunt ezekiel is missing.jb is too good namkubali sanaa.keep going.luv u all.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-47836970611884177252010-11-04T19:06:31.911+03:002010-11-04T19:06:31.911+03:00mhmm kwa kweli siipatii picha hii movie maana nahi...mhmm kwa kweli siipatii picha hii movie maana nahisi itakuwa gumzo zaidi ya zingine maana hao masuper star wanaoiigiza humu mhmmm balaa tupu na JB ninavyompenda jmn ananogeshaga sana filamu huyo kaka home wakiiona filamu ya JB yumo ndani hakuliki wala hakulaliki mpk iishe kwa vituko vyake tuaisubilia tu kwa hamu kaka angu.

marimarAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-64408008795786612012010-11-04T15:45:03.851+03:002010-11-04T15:45:03.851+03:00I c my brothers and i belive the movie is going to...I c my brothers and i belive the movie is going to be hot.coz u two swahibas and uwoya in da house nocing is going to be disappointed am always put my trust in all of u guys.Aiso i do like pastor emma where is he?My big up to your uncle JJ movie every now & zen wen am watching za movie am ending lughing and appriciate your job you real the great in the industry.I do admire u with your job.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-76879818220705294612010-11-04T12:02:30.112+03:002010-11-04T12:02:30.112+03:00Safi sana, hiyo itawavuta washabiki wote wa pande ...Safi sana, hiyo itawavuta washabiki wote wa pande mbili na matoke ni mazuri!
Big up!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-46260443717353506412010-11-03T10:35:25.968+03:002010-11-03T10:35:25.968+03:00iyo naona itakuwa kali ile mbaya,mtafunikaa we na ...iyo naona itakuwa kali ile mbaya,mtafunikaa we na swahiba wako ray.kila lakheri. from-Finland.naimanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-1827733013001558532010-11-02T20:24:05.095+03:002010-11-02T20:24:05.095+03:00kwa muonekano wa hii picha,ume act kama bad boykwa muonekano wa hii picha,ume act kama bad boyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-68857216714269328652010-11-02T16:02:51.390+03:002010-11-02T16:02:51.390+03:00Ahahahahaaaa inaonyesha utakua bonge la tozi kwa b...Ahahahahaaaa inaonyesha utakua bonge la tozi kwa baadhi ya picha nilizoziona.....am waitin huo utamu jamani....Kanumba haubahatishi and u know that

Zuu...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-68905323944401339702010-11-02T12:59:26.808+03:002010-11-02T12:59:26.808+03:00ray mbona una endelea ku nenepa?ray mbona una endelea ku nenepa?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-47789933544772036222010-11-02T11:38:28.226+03:002010-11-02T11:38:28.226+03:00inaelekea itakuwa nzuri sana,hongereni kwa kazi ze...inaelekea itakuwa nzuri sana,hongereni kwa kazi zenu nzuri nawakubali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-58675120933421793062010-11-02T10:27:30.780+03:002010-11-02T10:27:30.780+03:00jamani mnajitahidi hongereni saaaaaaaana!! sheilla...jamani mnajitahidi hongereni saaaaaaaana!! sheillasheillanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-44480666180507006782010-11-02T09:49:20.775+03:002010-11-02T09:49:20.775+03:00INAONEKANA KANUMBA KACHEZA KA MSELA FULANI IVII AL...INAONEKANA KANUMBA KACHEZA KA MSELA FULANI IVII ALAFU RAY NA JB WASHUA............TUNAINGOJEA KITAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-66271838798760810242010-11-02T03:08:00.800+03:002010-11-02T03:08:00.800+03:00Hapo sasa mtatuua wadau! Siwezi nikatabiri mzigo h...Hapo sasa mtatuua wadau! Siwezi nikatabiri mzigo huu utakua vipi, ninachokijua tu ni kwamba utakua moto wa kuotea mbali. Aaah, JB, Kanumba, Ray, Irene, for the first time, kwenye mzigo mmoja??!?!??... Hii itavunja record Kaka!
Haya, tunaisubiriakwa hamu...
Albert
Western Australia.Alberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.com