tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post6607623174511419905..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: KANUMBA THE GREAT FILMS MZIGONI TENA NA KITU KIPYA ''MORE THAN PAIN''steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-67702534852196973692010-06-12T10:00:39.764+03:002010-06-12T10:00:39.764+03:00ROSE NI MWISHO WA RELI, SIJUI KAOLEWA AMA, HALAFU ...ROSE NI MWISHO WA RELI, SIJUI KAOLEWA AMA, HALAFU ANAONEKA NI RESPONSIBLE WIFE TO BE! HAPENDI U-PUBLICITY KM WENGINEO (SI VYEMA KUWATAJA HAPA), HUMBLE GAL!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-14024831822332714172010-06-09T16:13:59.682+03:002010-06-09T16:13:59.682+03:00Halow my brother! hope upo shwari ukiendelea na ma...Halow my brother! hope upo shwari ukiendelea na mapambano ya kila siku, naona mzigo huo wa MORE THAN PAIN utafunika kama ule wa THIS IS IT daah wale watoto walinifurahisha sana wamefanya vizuri kuliko kawaida, ila swali langu ni hili, hvi ni kwanini hawa waigizaji wadada wanavaa nguo fupi hivo? sometime tunakuwa tupo na wazazi tukicheck filamu so inakuwa noma brother, wajaribu kuvaa asili ya mtanzania ili kila mtu aweze kuchek movie kwa uhuru. thanks. ni mm mdau wako,
Furaha DSM MabiboAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-75969978921448866542010-06-09T16:13:59.683+03:002010-06-09T16:13:59.683+03:00Halow my brother! hope upo shwari ukiendelea na ma...Halow my brother! hope upo shwari ukiendelea na mapambano ya kila siku, naona mzigo huo wa MORE THAN PAIN utafunika kama ule wa THIS IS IT daah wale watoto walinifurahisha sana wamefanya vizuri kuliko kawaida, ila swali langu ni hili, hvi ni kwanini hawa waigizaji wadada wanavaa nguo fupi hivo? sometime tunakuwa tupo na wazazi tukicheck filamu so inakuwa noma brother, wajaribu kuvaa asili ya mtanzania ili kila mtu aweze kuchek movie kwa uhuru. thanks. ni mm mdau wako,
Furaha DSM MabiboAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-17315384351317919522010-06-08T22:56:13.225+03:002010-06-08T22:56:13.225+03:00Rose Ndauka...umeolewa wewe kiumbeeee??Rose Ndauka...umeolewa wewe kiumbeeee??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-25289867647732971442010-06-07T20:04:24.849+03:002010-06-07T20:04:24.849+03:00hellow kanumba wewe mkali ile mbaya naisubiri youn...hellow kanumba wewe mkali ile mbaya naisubiri young millionea kwa hamu kama this is it imetisha kiasi kile uncle jj uko juu kaza buti.

Amina ZangiraAmina Zangiranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-68739281141936967452010-06-07T13:17:04.420+03:002010-06-07T13:17:04.420+03:00hallow kanumba
tunashkuru sana kwa kutuletea vitu ...hallow kanumba
tunashkuru sana kwa kutuletea vitu vizuri lakini jamani tumemchoka huyo rose jamani katoka kwa ray mara kwako, hakuna wasanii wengine?
hatukatai anakiwango lkn tumechoka nae,

kwa ushauri tu
mdauAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-26330377823366575372010-06-07T07:10:37.492+03:002010-06-07T07:10:37.492+03:00INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI KAKA? K...INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI KAKA? KILA LA KHERI.Miminoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-38947652093640709532010-06-07T07:09:08.221+03:002010-06-07T07:09:08.221+03:00INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI? KILA L...INAELEKEA ITAKUWA BOMBA SANA, INATOKA LINI? KILA LA KHERI KAKAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-75312331054233040792010-06-06T13:27:41.719+03:002010-06-06T13:27:41.719+03:00mkaka kwanza nakupa big up katika kuendeleza liben...mkaka kwanza nakupa big up katika kuendeleza libeneke la filamu tanzania...

hakika tanzania tupo nyuma sana katika ulimwengu wa filamu lakini kwa kazi mnayofanya mnajitahidi sana na tutafika tuu hata kama itatu take 100 years ila tutafika

pili katika pita pita yangu naona kama mlipewa ushauri na mzee mmoja kutoka ughaibuni kwamba muwe mnatumia kiswahili katika ku name movie zenu...sasa mkaka "more than pain" vp hapo..
mdau japanAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-72843880020681210602010-06-06T13:03:16.321+03:002010-06-06T13:03:16.321+03:00big up for your great job, ila naomba mjaribu kupi...big up for your great job, ila naomba mjaribu kupiga picha ambzao zitakweza kuangaliwa na familia nzima kwa pamoja yaani baba, mama, watoto na hata wakwe maana kuna baadhi ya movie zenu zinatia aibu na hali hiyo imesababisha wengine tushindwe kabisa kununua kazi zenu coz tunhofia kufedheheka mbele ya watoto. once again kazi nzuri and i aprriciate itAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-10304213743816917172010-06-04T19:43:36.921+03:002010-06-04T19:43:36.921+03:00Rose Ndauka umelolewa?mmhhh unanimaliza...Rose Ndauka umelolewa?mmhhh unanimaliza...Anonymousnoreply@blogger.com