tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post6971481918365584719..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: KANUMBA THE GREAT FILM MZIGONI.steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-3181348336465166772010-09-20T13:15:19.193+03:002010-09-20T13:15:19.193+03:00thank you brother kanumba,but show the reality to ...thank you brother kanumba,but show the reality to that kids, see the village atmosphear..hebu wavalishe mavazi ya kijjini waongeze uhusika zaidi...........TUPO PAMOJA,MORER THAN BLESSING,GOD BE WITH YOU IN YOUR WAY.ASANTE.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-81913144256282245612010-09-14T13:37:04.860+03:002010-09-14T13:37:04.860+03:00am diying waiting for the film. God bless you kija...am diying waiting for the film. God bless you kijana. film za bongo hazinipi hamasa ila this is it ilinikamata mpaka nikacheka. am waiting for the new one!!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-67710002678613026472010-09-14T13:36:35.300+03:002010-09-14T13:36:35.300+03:00am diying waiting for the film. God bless you kija...am diying waiting for the film. God bless you kijana. film za bongo hazinipi hamasa ila this is it ilinikamata mpaka nikacheka. am waiting for the new one!!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-6932744742292351132010-09-13T07:49:28.496+03:002010-09-13T07:49:28.496+03:00big up!!!!!!! one love brother.big up!!!!!!! one love brother.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-64321187955190177752010-09-10T18:50:16.880+03:002010-09-10T18:50:16.880+03:00Kanumba we ndo unafaa,mshauri mwenzio Ray kachukua...Kanumba we ndo unafaa,mshauri mwenzio Ray kachukua vibinti anatudanganya eti watoto wale,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-59703692971233725182010-09-09T15:53:56.557+03:002010-09-09T15:53:56.557+03:00Kanumba hao watoto hawaendani kabisa na hayo mazin...Kanumba hao watoto hawaendani kabisa na hayo mazingira ya kijijini wanaonekana kabisa wanaigiza. we need to see something reality hata kama ni filamu. mmeshindwa kuwafanya waendane na hayo mazingira? japo kwa nguo! mbona wewe umeweza?rachelnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-34926990191219990682010-09-09T11:30:17.806+03:002010-09-09T11:30:17.806+03:00daaahhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!HONGERA SN KAKA UMEJITAHI...daaahhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!HONGERA SN KAKA UMEJITAHIDI MNO...HII FILAMU ITAITWAJE???MANA NAISUBIRI KWA HAMU I THINK ITAKUA KALI ZAID YA THIS IZ IT.... CONGLAT......Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-69079400388718808862010-09-07T19:10:20.821+03:002010-09-07T19:10:20.821+03:00Niliiona This is it. Hakika Jenifer alikusumbua An...Niliiona This is it. Hakika Jenifer alikusumbua Anko.JJ. nasubiria na hii. Mdau-Lil HollandAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-79801117689580054692010-09-07T17:25:28.125+03:002010-09-07T17:25:28.125+03:00Kanumba mimi naomba nikushukuru sana kwa kuwaelimi...Kanumba mimi naomba nikushukuru sana kwa kuwaelimisha hawa watoto wetu. Thank you na kazi zako ni nzuri sana, MUNGU akusaidie zaidi ya hapo yaani sio Kampuni wala vifaa atakupa uwezo zaidi kwani kila amtegemea yeye atamtia nguvu. Tupo pamoja. Sahbiki wako namba moja hapa.
Mama MarioAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-51746597138519292462010-09-07T17:22:28.385+03:002010-09-07T17:22:28.385+03:00Upo juu babake no mpinzani tunasubiri kwa sana tui...Upo juu babake no mpinzani tunasubiri kwa sana tuione. Keep it up!!!
Mama MarioAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-26041110497410047812010-09-07T12:47:50.966+03:002010-09-07T12:47:50.966+03:00Kanumba hongera sana hasa kwa kuweza kumiliki vite...Kanumba hongera sana hasa kwa kuweza kumiliki vitendea kazi, kwa kweli hii ni hatua kubwa ya maendeleo umeifanya, mwenyezi Mungu aendelee kukubariki na kubariki kazi ya mikono yako.

This is it, ilikuwa ni movie ambayo nimeipenda sana, ilikuwa ni ya kiaina yake hasa hao watoto kwa kweli walimudu sana characters zao. Nina imani hii film inayokuja na wao wakiwemo itakuwa ni nzuri zaidi, I cant wait to see it. Mungu azidi kukubariki.kashubinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-38504904698776213422010-09-07T10:57:43.642+03:002010-09-07T10:57:43.642+03:00kaka kanumba hv ndo nilikuwa natakayaani blog inac...kaka kanumba hv ndo nilikuwa natakayaani blog inachangamka na matukio endelea kutujuzameridonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-43382030262668865882010-09-07T09:45:50.570+03:002010-09-07T09:45:50.570+03:00Ahsante Kanumba kukuza vipaji vya watoto, ila waac...Ahsante Kanumba kukuza vipaji vya watoto, ila waache wafaidi utoto wao msiwafanye kama Diana na Eliza maana watoto wamekuwa wakubwa ghafla.Luluhttps://www.blogger.com/profile/06039803664284245995noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-55104616177669630942010-09-07T03:37:12.830+03:002010-09-07T03:37:12.830+03:00Hongera sana Bwana Kanumba kwa hatua nzuri ulioifi...Hongera sana Bwana Kanumba kwa hatua nzuri ulioifikia ya kutengeneza filamu, tuna uhakika kwamba kwa sasa utafanya vizuri zaidi ya hapo mwanzoni kwa kuwa kampuni yako ina kila kitu.
Na sisi kama mashabiki wako tuko ready kwa kukipokea kile unachotupatia. Kazi zako ni nzuri sana tunazi appreciate, na kama sio roho mbaya tu, lazima kila mtu aani sapoti kwa hili.
Congratulations Bro......!!!??!
Albert
Western Australia.Alberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.com