tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post744288551469035754..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: HAPPY BIRTHDAY MY BEST FRIEND,MY BROTHER VICENT KIGOSI(RAY)steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-27650046261475055382010-05-22T13:02:07.420+03:002010-05-22T13:02:07.420+03:00Aisee cna la kuongea zaidi kuwapongeza kwa kazi ze...Aisee cna la kuongea zaidi kuwapongeza kwa kazi zenu nzuri pia nakupongeza kaka kanumba kwa kuendekea kumjali swahiba wako endeleeni kupandana jaman mcckilize maneno ya watu kuna binadamu wengine hawapendi kuona watu wanapendana co cri kk kanumba nazifeel kazi zako kiukwel tokea ulivoingia tu kwenye tasnia hii ya sanaa cwez kuangalia film yyte ya kibongo kama ww au ray kwenye film hiyo hayumo kwenye film hiyo vilevile ushauri tu mjipange na kutupa mambo mapya ktk film zenu kama film ya this is it yan iko unique na hivyo ndivo film inavotakiwa kuwa. mwisho wish U KAZ NJEMA TS UR YOUNG SIS FRM UDSMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-76257697590276603482010-05-22T09:27:14.962+03:002010-05-22T09:27:14.962+03:00jamani hizo pic za b'day ya ray mbona huzipost...jamani hizo pic za b'day ya ray mbona huzipost? <br />Lela.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/14806078352991139964noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-30011874428548425412010-05-18T15:36:47.471+03:002010-05-18T15:36:47.471+03:00Wewe nawe unapenda kusifiwa tu unabania comment, k...Wewe nawe unapenda kusifiwa tu unabania comment, kama hutaki maoni ulifungua ya niniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-23549274558158931612010-05-17T23:37:44.452+03:002010-05-17T23:37:44.452+03:00misifa tu watu wangine bwana. Unatoa risila nyiing...misifa tu watu wangine bwana. Unatoa risila nyiingi utazani Ray kafa kumbe ni BD tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-17797000366288424832010-05-17T23:14:29.718+03:002010-05-17T23:14:29.718+03:00pamoja na watu kuwapondeni! kuwakatisha tamaa! kuw...pamoja na watu kuwapondeni! kuwakatisha tamaa! kuwakajeli! Bado hamkufa moyo! Hongereni sana kwa hilo, Mungu azidi kuwapa nguvu na moyo wa upendo msimpe nafasi Ibilisi hata kdgo! Napenda sana movie zenu ingawa huwa nazipata kwa nadra sana! napenda mnavyojituma!NAWAPONGEZA SANA! pia msisahau kumshukuru Mungu kila kuitwapo leo. Dada yenu Washington DCAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-61540391694517008732010-05-17T09:50:27.569+03:002010-05-17T09:50:27.569+03:00Kanumba mdogo wangu jifunze kuandika majina ya wat...Kanumba mdogo wangu jifunze kuandika majina ya watu kwa ufasaha, ...Mfanano, "MARRY" ni verb na maana yake waijua bila shaka! Usitegemee MARRY kuwa jina la mtu. Jina lenye matamshi kama hayo but spelling tofauti ni Mary au Maria! Anyway, hongereni sana kwa mafanikio yenu na Happy birthday kwa ViKi! Mdau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-86449476706448711692010-05-17T06:43:59.276+03:002010-05-17T06:43:59.276+03:00nimefurahi sana kanumba ulivyo karibu,ushirikiano ...nimefurahi sana kanumba ulivyo karibu,ushirikiano na mapenzi ya dhati kwa mwenzio ray mwendelee hivyohivyo msiingiwe na ibilisi mtaharibu kila kitu,nimetoka kumwandikia sasa hivi ray,big up wote wawili.ni mimi mdau kutoka marekaniAnonymousnoreply@blogger.com