tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post8007167736700754263..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: SIHUSIKI NA HUU UPUMBAVU,SIHUSIKI NA HUU UJINGA TAFADHALI WEWE MUHUSIKA UNAYETOA HABARI HIZI NIACHE.steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-47541010726069488962010-07-27T12:43:41.842+03:002010-07-27T12:43:41.842+03:00wala usikonde unapoandikwa ingawa inaumiza ila haw...wala usikonde unapoandikwa ingawa inaumiza ila hawajui kuwa ndio wanakuongezea mashabiki kila siku maana wengine hawakujui wakisoma hapo wanatafuta kazi zako wanazinunua wala usikonde kaa kimya mwisho wa siku watachoka wenyeweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-59267687003023553622010-06-15T09:42:40.253+03:002010-06-15T09:42:40.253+03:00pole sana Kanumba hiyo kawaida wala isikutishe we ...pole sana Kanumba hiyo kawaida wala isikutishe we kaza buti tu watachoka wenyewe!<br />waonyesha kwamba hapa ni mwanzo mwisho badoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-5487501773651040332010-06-14T12:33:20.459+03:002010-06-14T12:33:20.459+03:00piga kazi mkaka wewe ni star wanataka kupita mgong...piga kazi mkaka wewe ni star wanataka kupita mgongoni mwako nani huyo mbona hajulikani mjini didaAnonymoushttp://(optional)noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-73297959336796858472010-06-08T17:51:50.916+03:002010-06-08T17:51:50.916+03:00Pole kanumba hawa global publishers naona wamekuan...Pole kanumba hawa global publishers naona wamekuandama kweli.we funga kioo mguu kwenye bati.Prince DelloAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-91328318556154039712010-06-07T14:03:17.766+03:002010-06-07T14:03:17.766+03:00kaka hapa mjini kila m2 ananjia zake za kutafutia ...kaka hapa mjini kila m2 ananjia zake za kutafutia umaharufu na bila kujali kuwa maybe anakuumiza au la. Pole kaka na hongera kwa kutumia busara ktk hili.Ima (The Designer)noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-36365226997709243952010-06-05T15:06:16.411+03:002010-06-05T15:06:16.411+03:00Kanumba bro!, pole sana kwa yanayokusibu....watu w...Kanumba bro!, pole sana kwa yanayokusibu....watu wa namna hyo wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya wenzao wapo wengi sana, mie naomba nikukumbushe tu mpendwa wangu, kwamba ur very famous figure(celebrity) in our growing country - na hilo halizuiliki bila shaka unalitambua, ila usisahau kwamba kuwa celebrity kuna changamoto kadha wa kadha mbele yako, hiyo hapo juu ni moja wapo, kuharibiana na kuchafuana ktk vyombo vya habari. Chamsingi ni kuendelea kumuomba mungu akupe ujasiri ili ukabiliane nazo, never give up, piga moyo konde na sema maneno haya : nayaweza mambo yote ktk yeye anitiaye nguvu, Filipi 4:13. Ni mimi mdau/shabiki wako - Delhi, IndiaAnonymousnoreply@blogger.com