tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post9048704672465539028..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: GARI YANGU YA PRODUCTION(KANUMBA THE GREAT FILM)steven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger24125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-65258842114405925192011-01-10T13:56:23.822+03:002011-01-10T13:56:23.822+03:00Kanumba...u r gr8...u'v always been that way 2...Kanumba...u r gr8...u'v always been that way 2 me...coz nimekua nakuchek tangu nipo primary...enzi za kaole. Mungu aendelee kukubariki,songa mbele na endelea kusaidia chipukizi...lov uAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-75486786226191510202010-11-29T11:59:25.372+03:002010-11-29T11:59:25.372+03:00whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubarik...whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa kila umnalofanya ..yaani nimefurahi sana kwa hilo hii ni hatua nzuri big up!

its azzah!azzanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-7204618191273934662010-11-29T11:59:24.047+03:002010-11-29T11:59:24.047+03:00whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubarik...whaoooooooooo! hongera sana my kaka mungu akubariki na azidi kukuongoza kwa kila umnalofanya ..yaani nimefurahi sana kwa hilo hii ni hatua nzuri big up!

its azzah!azzanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-23294698590203182772010-11-23T11:53:26.512+03:002010-11-23T11:53:26.512+03:00mungu na akuzidishie mara mia moja, napenda kazi z...mungu na akuzidishie mara mia moja, napenda kazi zako, zina matunda hai ambayo tunayaona, hongera sana, nimefurahi utasema gari yangu mimi lo!,
hongera sana kaka, PAMOJA SANA!!!!VIOLET........https://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-3645172865725432922010-11-21T20:26:38.150+03:002010-11-21T20:26:38.150+03:00hongera hila mbona mumenunua magari sawa na ray au...hongera hila mbona mumenunua magari sawa na ray au ndio uswahiba wa kweli safi sana vijana mungu akubariki ni kazi za mikono yenu pls vp kuhusu mzee kipara anaendeleaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-64345060953206024692010-11-20T17:09:19.233+03:002010-11-20T17:09:19.233+03:00Congrats kaka!may God blec yehCongrats kaka!may God blec yehAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-1174673969669292682010-11-19T17:57:25.296+03:002010-11-19T17:57:25.296+03:00Big up kanumba unaendelea kichizi ila usisahau kum...Big up kanumba unaendelea kichizi ila usisahau kumshukuru Mungu ndie alikufikisha hapo, kwa kweli sisi warundi tunakufangilia hovyo ila nikona hamu ya kuona iyo movie ya OFF side. good day swaiba wangu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-59505091236271619232010-11-19T10:19:27.572+03:002010-11-19T10:19:27.572+03:00hongera snaaaa kanumba mung akuzidishie ki ukweli ...hongera snaaaa kanumba mung akuzidishie ki ukweli unajidahidi saaaaana snaaaaaa.sasa uwe unaigizia hata huku mikoani kuna sehemu nzuri snaa.all the bestAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-29147684812027908622010-11-18T09:57:24.964+03:002010-11-18T09:57:24.964+03:00congs bro.congs bro.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-37559952966856211812010-11-18T02:26:19.688+03:002010-11-18T02:26:19.688+03:00hongera sana kaka angu. hayo ndio yanayotakiwa...m...hongera sana kaka angu. hayo ndio yanayotakiwa...maendeleo na bado naona kuna vitu vinanukia hapo bado...au nakosea mwanawane..mungu awe nawe kwa kila lako jambo..big up bro

dada
sanura.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-66559336615947729352010-11-16T22:08:55.999+03:002010-11-16T22:08:55.999+03:00Vizuri sana kanumba hongera kwa kuendelea kupiga h...Vizuri sana kanumba hongera kwa kuendelea kupiga hatua. Kila la heri Mwenyezi mungu aendelee kukusaidia upige hatua nyingine zaidi na zaidi.Dohttps://www.blogger.com/profile/14158086650078548476noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-40983050098996143242010-11-16T14:08:22.851+03:002010-11-16T14:08:22.851+03:00hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka ...hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka hadithi safi zenye mvuto. lumi - darAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-47185113124592475512010-11-16T14:05:46.944+03:002010-11-16T14:05:46.944+03:00hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka ...hongera, hayo ni maendeleo makubwa. sasa tunataka hadithi safi zenye mvuto. lumi - darAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-23500293335769437122010-11-16T13:13:54.681+03:002010-11-16T13:13:54.681+03:00Its great broo real great!am here with nothng to c...Its great broo real great!am here with nothng to comment but i wana tell u that mimi ni mtunzi wa movie storie ad till now i gat tow stories namely
"THE MEDIAVAL AGE" and "THE THROAN" for now am schooling at school of library at bagamoyo:0713588228 is ma no.ma name z michael aka modo!blesses the great!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-38470803061919716382010-11-16T12:03:01.475+03:002010-11-16T12:03:01.475+03:00Majuzi kati km niliiona kwa mbali hivi kaka....? i...Majuzi kati km niliiona kwa mbali hivi kaka....? i really liked it, hongera sana kwa hatua hiyo, God bless u more...!Johprisenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-66468205735434392602010-11-15T18:19:47.660+03:002010-11-15T18:19:47.660+03:00Kumbe ndiyo maana ulikua silent-silent muda wote h...Kumbe ndiyo maana ulikua silent-silent muda wote huu? Ulikua una mpango kama huu wa kutu surprise?
Kwa kweli this is a big suprise and we're happy for this good news anyway!
Lakini punguza kasi kidogo!
Albert
Western Australia.Alberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-77207066099111009082010-11-15T16:13:43.610+03:002010-11-15T16:13:43.610+03:00Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake....hongera kak...Hakika Mungu ni mwema kwa watu wake....hongera kaka yangu kwa hatua uliyofikia nafurahia maendeleo yako jitahidi utafika mbali zaidi huo ni mwanzo tu ukiwa mwaminifu kwa Mungu na watu wake na ukifanya kazi kwa bidii atakubariki zaidi na zaidi.

Zuwena ShivjiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-35422457377955319842010-11-15T11:20:19.904+03:002010-11-15T11:20:19.904+03:00waoo,garinzuri sana hongerazako kanumba mungu azid...waoo,garinzuri sana hongerazako kanumba mungu azidi kukubariki ktk kazi zako,upate mafanikio zaidi. from-Finland.naimanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-74450322254647496852010-11-15T11:04:51.195+03:002010-11-15T11:04:51.195+03:00hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana hayo ndio maend...hongera saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana hayo ndio maendeleo tunayotaka wadau wako, mimi ni mdau wako mkubwa sana toka moshi kilimanjaro naitwa mama richieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-89870635693197742692010-11-15T10:39:34.497+03:002010-11-15T10:39:34.497+03:00hongera uncle JJ hayo ndio mafanikio tunayotaka ku...hongera uncle JJ hayo ndio mafanikio tunayotaka kuyaona. Tunakuombea kwa Mungu azidi kukupa afya bora na uhai ili uweze kutupa mambo mazuri. Congrats bro! kitu kimetuliaa! Sio mchezo.Mama twincenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-89613166543697888062010-11-14T19:40:01.432+03:002010-11-14T19:40:01.432+03:00Hongera sana tunakupenda na tunapenda kazi yako pi...Hongera sana tunakupenda na tunapenda kazi yako pia mungu akubariki zaidi K, shabiki from OsloAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-61734146777002396772010-11-14T14:23:06.473+03:002010-11-14T14:23:06.473+03:00a step forward kaka (Raqey)a step forward kaka (Raqey)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-37842656819780965442010-11-14T14:17:12.877+03:002010-11-14T14:17:12.877+03:00hongera sana kwa kufikia hapo ulipo.ila kuwa makin...hongera sana kwa kufikia hapo ulipo.ila kuwa makini na vibaka wa bongo.Maana wakiona gari na picha ya kanumba wanaweza kudhani humo ndani mna chochote cha kukwapuaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-17357156297115167742010-11-14T10:57:50.436+03:002010-11-14T10:57:50.436+03:00wooooooooooow hongera sana kaka angu kw kupiga hat...wooooooooooow hongera sana kaka angu kw kupiga hatua maana sasa tunaona mafanikio ya kazi zako umefanya la maana sana na lazima kuwe na gari ya kazini kwa ajili ya kz na home ni home sina la zaidi ya kukuombea mafanikio na hongera tenaaaa

marimarAnonymousnoreply@blogger.com