tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post918343485749675806..comments2024-02-23T11:37:04.040+03:00Comments on Kanumba The Great: KANUMBA THE GREAT FILMS mambo bado yanapikwa leo ilikuwa ni siku ya kupiga scene za MONTAGE ktk moviesteven kanumbahttp://www.blogger.com/profile/16633214696214112854noreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-77471348477541971112010-06-30T14:58:14.575+03:002010-06-30T14:58:14.575+03:00haya bwana naona mambo si mambo hahahahahaya bwana naona mambo si mambo hahahahacapt stevenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-78415366265672572412010-04-09T09:45:35.616+03:002010-04-09T09:45:35.616+03:00Sasa Kanumba hii picha utaturuhusu tuangalie na wa...Sasa Kanumba hii picha utaturuhusu tuangalie na watoto wetu? au hizi sehemu za Gwantwa na Wewe katika mambo yasiyompendeza Mungu utaziondoa? Maana siamini watoto wa Kiswahili wakiangalia hivyo tu Kesho wasijaribu hayo mapigo. Mifano tunayo Maana wakimuona JOHN CENA tu kesho wanajitia wababe. Ushauri: Andika juu ya Gamba Watoto hawaruhusiwi!!!! KizitoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-58856684802452848652010-04-08T13:56:57.475+03:002010-04-08T13:56:57.475+03:00Kanumba polepole huu ni mwezi wa nne tusije sikia ...Kanumba polepole huu ni mwezi wa nne tusije sikia tunapata mjomba baada ya miezi tisa. maana huyo Gwantwa anavyokaa kaa si utani atawavutia wengi! wanaopenda nanihii!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-68913314458209546142010-04-07T13:14:26.835+03:002010-04-07T13:14:26.835+03:00hivi hamjashtukia kwanini huyu mwanambati alivaa j...hivi hamjashtukia kwanini huyu mwanambati alivaa jinsi hapo ufukweni?yani kwa hizo scene na hicho kitoto kilivyo aliogopa 'babu juma'wake 'angeonyesha ushirikiano'afu ingekuwa soo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-3820393854012904702010-03-31T18:34:24.537+03:002010-03-31T18:34:24.537+03:00wow ngoja niwe nasubila, manake natamani niipakue ...wow ngoja niwe nasubila, manake natamani niipakue haijaiva. Kazi njema kakangu, napenda kazi zako. Wasanii wabongo mmepanda siyo siri. kila la kheri.kokusimahhttps://www.blogger.com/profile/14854756803139003964noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-20254634252788476692010-03-31T18:27:29.054+03:002010-03-31T18:27:29.054+03:00Halafu wakiulizwa eti wanasema hapo hakuwa kanumba...Halafu wakiulizwa eti wanasema hapo hakuwa kanumba na aunt, hapo alikuwa gwantwa na nanihii uwongo mtupu hata kina brad na angeline walikutana kwenye acting ndio wakaoana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-71257462893638816442010-03-31T15:11:46.855+03:002010-03-31T15:11:46.855+03:00Ndiyo Kanumba, endelea na kutuandalia vitu vilivyo...Ndiyo Kanumba, endelea na kutuandalia vitu vilivyo vizuri na vitamu kabisa. Watu wa Australia tunasubiri kwa hamu chochote utakachotupa kwani kiwango chango cha ku act ni cha hali ya juu kabisa. Lakini uwe makini sana na Aunty kwani anavyokamua ni zaidi ya kipaji cha kawaida. I mean ni actress mzuri sana, namuamini sana, na umpe habari kwamba nitamshirikisha kwenye movies ambazo tuko tunaziandaa hapa Australia.
Keep it up Bro. Kanumba.
Albery
AustraliaAlberthttps://www.blogger.com/profile/03547989598384044787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-51774365623524125362010-03-31T14:54:28.473+03:002010-03-31T14:54:28.473+03:00hata kama ni action ila nyie naona kama vile mnafa...hata kama ni action ila nyie naona kama vile mnafanya kweli haiwezekani aunt akupanulie mapaja hivyo afu nawe unayshika utafikiri ndo mpo chumbani nyie mnafanyana kweli maan aunt alivyo kamekaa kikahaba zaidi duh hata amfundishi vitu vya maana sana mnafundisha watu wafanya ujinga, najua utaibania hii coment lakini ujumbe umekufikia pls itoe hewaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-45187098573874628562010-03-30T14:34:36.643+03:002010-03-30T14:34:36.643+03:00mkubwa imetulia hiyo ki2 hapo beach..m2kama una mk...mkubwa imetulia hiyo ki2 hapo beach..m2kama una mkeo anaigiza halafu hujui sanaaa..inakuwa kaazi kweli kweli..

Lakini veve mwanambati..suruali beach kama haiko mwake vile mkubwa???

Wewe ungejiachia na mavi2 ya vitu laini short hiviiiiiipacnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-165454414730457982010-03-30T13:40:27.632+03:002010-03-30T13:40:27.632+03:00Ndugu yangu kanumba una moyo sana, hapo umeondoka ...Ndugu yangu kanumba una moyo sana, hapo umeondoka bila bila kweli? Du!! ndio maana hamuwezi kuoa, ni movie lakini burudani mnapata ya kutosha. Anyway nakutakia kila heri maana movie ndio kazi yako na maisha yako yanasonga mbele kwa hiyo kazi. Mdau EUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-42979487147327331232010-03-30T11:42:28.127+03:002010-03-30T11:42:28.127+03:00duuuh ama kwa hakika hii movie itaku poa sana,nain...duuuh ama kwa hakika hii movie itaku poa sana,naingoja kwa hamu sana hii ni dhambi kuikosa jamani!!!!!!Majoynoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-51626589991319417392010-03-30T10:53:42.524+03:002010-03-30T10:53:42.524+03:00duh we Kanumba huko kuigiza gani na huyo aunt? mhh...duh we Kanumba huko kuigiza gani na huyo aunt? mhhhh nyie lazima mtakuwa wapenzi tu , hahaaaaaaaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-44815359250976052062010-03-30T09:35:00.193+03:002010-03-30T09:35:00.193+03:00kaka big up mimi sana sitaki kumponda fulani anaye...kaka big up mimi sana sitaki kumponda fulani anayetoa filamu fulani kila weekend mimi kwa upande wangu nakubali kazi yako sana kusema la kweli huko juu sana kaka cha msingi ni kukaza buti tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-408418209259455211.post-58104209975561418132010-03-30T09:16:27.332+03:002010-03-30T09:16:27.332+03:00Loh Gwantwa unadatishaaaaa.
hahahahaah kama Brad a...Loh Gwantwa unadatishaaaaa.
hahahahaah kama Brad and Angelie umenifurahisha kweli.

disminder.Anonymousnoreply@blogger.com