Star Times

Mercy Beauty Parlour

May 26, 2011
UMEME UNAPOKATIKA LOCATION HALI HUWA HIVI...
Tatizo la umeme wetu wa Tz linavyoathiri hata tasnia yetu.....
umeme hakuna hapo tunasubiri kudra za Mungu...
Ikabidi zianze story za Nigeria,Ramsey akisema mbona nyie hapa mna afadhali sie movie zote huwa tunashoot kwa generator maana umeme Nigeria unaweza kuwaka kwa dakika 20 na ukazimwa kwa siku 2 bila sababu na wananchi kwa sasa wameshazoea ndio maana kila nyumba za wenye uwezo huko zina Generator kubwa.
Ramsey na Samm(light man)
Ramsey akipakwa make up na Maya
The great na mimi nikila mapouuuudahh
Tukataka tupige scene hiyo nje lakini kelele za watu na magari yakazidi tukaacha,na ndani umeme hakuna basi ikawa ni kukaa tu.
Tukaingia ndani ili labda tutumie generator kushoot ndani lakini kelele za generator nazo zikatushinda tukabaki kupiga story tu....







May 22, 2011
BONGO MOVIE FC YATOKA SARE NA WAANDISHI WA HABARI MWANZA
Katika uwanja wa CCM KIRUMBA -MWANZA kulikokuwa na mechi kari ya mpira wa miguu jioni ya leo kati ya BONGO MOVIE FC DAR ES SALAAM na WAANDISHI WA HABARI NA MA DJ MWANZA matokeo ni ngoma droo,japo sisi ndio tulikuwa wa kwanza kuliona lango lao kipindi cha kwanza,wao wakasawazisha kipindi cha pili,matokeo ni sareeeeee....
Steve nyerere na Jb wakipasha

NIKAELEKEA WILAYA YA KISHAPU-SHINYANGA











Subscribe to:
Posts (Atom)
