Ukija katika movie za mapenzi kama Oprah nipo,ukija action kama Hero of the church nipo,ukija za shuleni kama More than pain na johari nipo,Ukija za kichawi kama Magic house nipo,Ukija za kijijini na umaskini kama Village pastor nipo,Ukija za kitajiri kama Young billionaire nipo,Ukija za watoto kama This is it nipo,Ukija za ukichaa kama Crazy love nipo.Sasa hapa nakuletea serious comedy kukuonesha kuwa mimi kila kila uhusika nauweza ndio maana ya kuwa The great pioneer hapa ni katika Morning alarm.
The great na beny katika scene
The great na beny katika scene





















































