Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 18, 2010

THE GREAT NDANI YA NAIROBI KENYA LEO.

SAMAHANI JAMANI NIMEONDOKA KIMYA KIMYA ASUBUHI YA LEO,NIKO NAIROBI KATIKA KUREKODI TANGAZO LA KAMPUNI BORA YA SIMU ZANTEL...TANGAZO HILI NI LA VIDEO,SHUGHULI NTAIANZA KESHO ASUBUHI NA MAPEMA JAPO WAPO BAADHI YA MODELS WALIOANZA KUREKODI MATANGAZO MENGINE AMBAYO SI YA ZANTEL ASUHI YA LEO...LAKINI MARA BAADA YA KUSHUKA UWANJA WA NDEGE NILIWATEMBELEA LOCATION KUWAONA LAKINI PIA KUONA CREW ITAKAYONIREKODI KESHO,JAMAA WANATOKA BOLLYWOOD INDIA NA NI WATAALAMU SANA WA KUREKODI MATANGAZO MBALIMBALI. NIKIWA NA BAADHI YA CREW HIYO KWA MAONGEZI YA KUJUANA

WATU MBALIMBALI WAPO TOKA TZ



HUYU NDIYE MKURUGENZI WA KAMPUNI INAYOSHOOT HAYA MATANGAZO JINA LIMENITOKA KIDOGO

THE GREAT NA MOJA WA WASIMAMIZI WA KAZI HIYO

FURAHA YA PAMOJA

KAZI IKIENDELEA

CAMERAMAN AKIWA KTK DOLL TAYARI KWA KUPATA SHOTS ZA MAANA

TIZAMA MWENYEWE

HILI GARI LOTE LIMEJAA VIFAA VYA PRODUCTION HAKIKA SI MCHEZO

KAZI KWA LEO IMEMALIZIKA WATU WARUDI HOTELINI KUPUMZIKA KUJIANDAA NA KESHO TENA

ZAMDA NA KENY AMBAO LEO WALIKUWA NA KAZI KUBWA SANA TOKA ASUBUHI YA SAA KUMI NA MBILI WAKIREKODI TANGAZO LA CONDOM.

THE GREAT NA WAREMBO NIKIRUDI HOTELINI ILI KESHO NIANZE KWA NJAA ZANGU KAMA KAWAIDA NA KONGA NYOYO

THE GREAT AMALIZA MORNING ALARM KWA KISHINDOOOO

MWISHO WA UBAYA NI AIBU

BAADA YA MAKEKE YOTE SASA KWA PILATO

TUKIPANGA NAMNA YA KUPITA MPAKANI MWA TZ NA .....

BUNDUKI ILIBIDI ZIFANYE KAZI YAKE

THE GREAT KATIKA KULENGA SHABAHA

MWANAUME KAZINI KATIKA MORNING ALARM

THE GREAT NA BENY BRANCO

TUKISIKILIZIA MATOKEO BAADA YA KUMNALIZA KAZI YA KUMIMINA RISASI

HUU NDIO ULIKUWA MSAFARA WA MAGARI YETU KUELEKEA LOCATION KISARAWE..

Aug 14, 2010

HII KWA WENGINE NI KITOWEO SAFIII..

HUJAFA HUJAUMBIKA

Upendo kwa wote

JAMANI TUSIACHE KUTEMBELEA HAPA KWA USAFI WA MIILI YETU KUANZIA KUCHA,MIGUU,MIKONO,NYWELE N.K

The great namimi huwa haishi week sijapita hapa ndio maana mda mwingi naonekana safiiiiii

The great na Mercy(mkurugenzi wa Mercy g saloon ambaye huwajali wateja kwa asilimia 100.

Hadi kwa wale wanaopenda kuweka tatoe kama hiyo mkononi kwa Mercy karibuni sana

Aug 10, 2010

WAZEE WA READING UK NIMEKUMBUKA HIZI.

STUDIO

HUMMER LIMOOOZZZZZINNN

THE GREAT PIONEER AND MECKY

STAND BY...ACTION

THE GREAT PIONEER NA MZEE WA NYUKI

PASTOR EMMANUEL MYAMBA ATEMBELEA MICHIGAN ADVENTURE USA

Msanii mwenzetu Emmanuel myamba ambaye wengi tumemzoea kumuita pastor kutokana na kuigiza sana na vizuri sehemu za uchungaji ambaye yuko michigan Marekani kwa mda wa miezi miwili sasa akipumzika katembelea MICHIGAN ADVENTURE kujionea yaliyomo,chini hapa ni baadhi ya picha zake mahali hapo...sawasawa shegu enjoy. Pozi la kichungaji la kuwafikiria wahumini

Kijana akipaa zake kwa raha zake

Haya sasa pastor anaogelea

Haya haya twende twende

Kwa raha zake mzee wa fire


Sehemu yenyewe kwa mbele mahali pa kuingilia panavyoonekana


Rose,myamba,dada kwa pamoja wakiwakilisha

Aug 8, 2010

MAMBO BADO YANAPIKWA NDANI YA MORNING ALARM

Sikia ndugu yangu wacha nikapate chupa kidogo..

Hallow unamaliza mboga bwana..

Hii speed yako siielewi elewi

Usinisemee usinisemee kama napenda kulaaaaaa ahahah

Yaani umekula nyama zote alafu wajifanya kusoma gazeti?

Ebu tutafakari haya maisha

Huu mkono wangu nikikupa kibao lazima usahau kama uliwai kuishi katika sayari hii

Aug 7, 2010

TULIPOFIKA BUCHOSA HALI ILIKUWA HIVI

Mwenyeji wetu Mr.Erick Shigongo alitupa mapokezi mazuri sana huku akiwa ahamini kama vijana tumeingia kumpa sapoti.

Tulisalimiana na waheshimiwa mbalimbali ambao Mh.Shigongo alikuwa akitutambulisha kwao

Mkurugenzi wa ZIZZOU FASHION Nd.Tippo na Jb nao walikuepo

Kila sehemu tuliyopita hali ilikuwa hivi nasi hatukusita kuongea na mashabiki wetu ambao ki ukweli walionesha kumkubali Erick Shigongo kama ndio tumaini lao Buchosa.

Hapa kama mkutano ila ni mashabiki ambao walikusanyika wakitaka japo tuwasalimu kidogo nasi tulifanya hivyo


Dakika chache baada ya kuingia Buchosa na kuonana na Erick Shigongo tukapata picha ya pamoja na kumtia nguvu ktk safari yake maana lengo na nia yake kwa Buchosa ni njema.


Huwa ni furaha sana unapokutana na mashabiki na wakaonesha kukukubali kwa dhati

Eneo hili lilinivutia sana hapa buchosa maana mimi napenda sana adventure ikabidi nipate picha ya kumbukumbu

Aug 3, 2010

MTOKO WA DESMOND ELLIOT NA UCHE JOMBO

Desmond kapiga suti ya maana..

THE GREAT NA USAFI WA MIGUU NDANI YA NEW MERCY G UNISEX SALON.

JAMANI KWA USAFI WA NYWELE,MIKONO ,MIGUU,MASSAGE,KUCHA,BODY SCRUB TUSIACHE KUPITA HAPA...KARIBUNI