
Nice Chande & Innocent Bachard wakifurahia jinsi shooting inavyokwenda

Mi, Docta Cheni na Johari. Furaha na Tabasamu kazi yaenda vizuri

Mdau Chime Chande & Nice Chande wakiwa katika set kabla ya kushoot

Leo Swahiba alisumbuliwa sana na Umeme, Taa zilikuwa hazipati mwanga wa kutosha kama mnavyoona akirekebisha

Crew ya GRM PRODUCTION ndio wanaomshutia The Greatest

Irene Uwoya Ndikumana mara baada ya kumaliza kushoot scene mojawapo. Jamani huyu Dada anakamua ile mbaya kwa sasa zaidi ya mwanzo

Uwoya na Johari

Uwoya na mimi pozi la pamoja. Jamani Irene hilo tumbo ni Mimba ya kutengeneza kwa ajili ya movie hiyo, hana mimba yoyote.

Chime Chande & Nice Chande ktk moja ya Scene

Mi na Nice Chande - Location.

Innocent Bachard na Nice Chande

Dr. Cheni na Uwoya ktk Scene (Cheni anafurahisha sana katika hii scene)
11 comments:
Yaani kaja juzi uyu Uyoya movie ishaanza kupigwa leo hahahaaaaaaaaa,kweli Bongo Tambarale sasa ,mazoezi wamepiga saa ngapi jamani,kweli Academy award tutanusa kweli kwa mtindo huu eheeeeee jamaaniiiiiiiiii
Kuwa na moyo huo huo kaka nimependena ushirikiano.
By Suzie
Hongera baba ndo uanaume na maendeleo yanakuja kihivyo.
Big up
hellow dr cheni unazidi waka tu
Bro am good in acting ka vp nifanyie mpango.
0714597816
JAMANI HUYO CJUI NDO NICE CHANDE MBONA AMEKAA UCHI SNA C MKE WA MTU ANATANGAZA NINI NIMTAZAMO TU
mambo si hayo kanumba kushirikiana ulete na picha za ray humu maana unachoyo mpaka watu wamesema ndo waleta kabila gani weye kwani?una wivu kweli waonesha huwezi hata jizuia mambo poa sasa ndo usanii huu leta vijipicha vya swahiba wako kama ray anavyofanya ndo mambo nawatakia mafanikio mema.
Doh huyo sijui mrs. chande............
mhh no commnet kwa nice chande
NICE CHANDE yupo wapi ADAM DISTINCTION, mie sisemi yangu macho tu........
kaka napenda kazi yako,endelea na moyo huohuo..
Post a Comment