
UKIFIKA LAMADA UTAONA KIBAO HIKI KIKIKUELEKEZA MPAKA SALON ILIPO UTATENGENEZWA NYWELE,USAFI WA MIKONO NA KUCHA(MANICURE)MIGUU(PEDICURE)MASSAGE,BODYSCRUB,FACIAL N.K

HAPA NI MAENEO YA LAMADA ILIPO SALON HII HIGH CLASS NA YA KISASA,PIA WAWEZA FIKA POSTA JIRANI NA TBC MARKET AU MSIKITI

THE GREAT NIKIFANYA MANICURE

USAFI WA MIKONO UKIENDELEA

THE GREAT NIKIFANYA PEDICURE

HAPA NI MAENEO YA POSTA MJINI ILIPO MERCY G SALON AMBAPO MASTAA MBALIMBALI HUFIKA HAPO KWA AJILI YA KUTENGENEZA NYWELE NA NK KAMA UNAVYOONA BATULI ALINIFATA HAPO KUNIHOJI NI JINSI GANI NAVYOIMARISHA USAFI WANGU WA MWILI NAMI IKABIDI NIMWELEKEZE AJE HAPO AJIONEE MWENYEWE...NYOTE MNAKARIBISHWA JAMANI WAKE KWA WAUME

THE GREAT NIKIHOJIWA MARA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA PEDICURE,MANICURE NA SCRUB.

SALON INAVYOONEKANA KWA NDANI MAENEO YA POSTA

WAKATI FULANI MKURUGENZI MWENYEWE WA MERCY G,MISS MERCY GALABAWA HUWAHUDUMIA MWENYEWE WATEJA WAKE SALON HAPO KAMA UNAVYOONA KAJALA KAPATA BAHATI HIYO YA KUTENGENEZWA NYWELE NA MERCY GALABAWA
No comments:
Post a Comment