Tumekuwa na interview mbalimbali katika radio na tv juu uwepo wetu wasanii wa filamu bongo hapa katika tamasha la ZIFF,Hapa tukiwa ZCTV ila upande wa radio yake.

swahiba akihojiwa

The great na Gervas kasiga tukihojiwa redioni

Mahojiano yakiendelea

Baada ya mahojiano kuisha sasa ilikuwa ni zamu ya kuingiza baadhi ya matangazo ya vipindi mbalimbali vya radio hiyo

Swahiba nae akitimiza wajibu
No comments:
Post a Comment