Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mar 29, 2011
Mar 16, 2011
WATOTO WA UNCLE JJ WAMTEMBELEA UNCLE JJ...
Katika pitapita wanangu waliocheza katika THIS IS IT,UNCLE JJ na DECEPTION waliamua kupita nyumbani kwangu kunitembelea kidogo,lakini pia kujua kwa mwaka huu nimewaandalia movie gani?...
Umeme ukikatika basi ndani hakukaliki,kushoto ni msaidizi wangu(PA)Seth,mtoto LAUREN JOHNSON aliyecheza katika DECEPTION,anayefuata alikuja na Jenifer nayeye akiomba nafasi awe kama wenzake...nyuma yao ni Patrick..anyepiga picha mbele yao ni Jenifer.
Ikabidi Patrick aje kupiga picha ili Jenifer nae awepo kama unavyomuona katikati yao
Lauren akiwa katika pozi katika movie atakayoshoot ni mpambano kati yake na Jennifer ambapo movie itaitwa IRENE and AUNTY,Lauren ataigiza kama Aunty na baba yake ataitwa Ezeckiel,wakati JENIFER ataigiza kama IRENE na baba yake ataitwa Uwoya,katika movie hiyo wote wana ndoto za kuja kuwa waigizaji wakubwa nchini,PATRICK yeye ataigiza kama RAY KIGOSI mwenye ndoto za kuja kuwa director wa filamu nchini...



Mar 12, 2011
PICHA ZAIDI ZA KAOLE DAY-MAGOMENI








PICHA ZAIDI ZA KAOLE DAY.....








Subscribe to:
Posts (Atom)
