
Swahibaaaaaaaaaa

bongo movie kipindi cha mapumziko

Wadogo zangu Mlela ,mdau na Hemed

The great na Joti

Haya sasa jamani...

Kipemba mnamkumbuka?

William Mtitu na Swahiba

Joti na JB

Bongo movie fc

bongo fleva fc

Ally Kiba kijana anacheza sana mpira huyu alitutesa sana
Swahiba akipiga chenga ya nguvu uwanjani....tizama mwenyewe...
4 comments:
mmmhh ila ally kiba jamani huyu kaka ni hooot..
Mechi hii nilitamani sana kuiona ila kwa sababu niko mbali sana na Tanzania sikufanikiwa. Ila kama ilirecodiwa, please nitumie copy na mimi niburudike. Mambo yalikuwa funny sana Bro, nikiiangalia wachezaji wenyewe wakiwa wamevaa jezi yaaani nilicheka saaaaaaaaaaaaaana.
Albert
Australia.
Yaaaani nimecheka kweli nikimuangalia joti, masanja na jb nacheka hadi mbavu zinauma hawa watoto wanavituko sana hadi uwanjani
dah mambo kama haya yawe yanatokea mara kwa mara kwani yanajenga mengi si sawa na tunavyofikiri
Post a Comment