Ilipofika jioni tulipata mwaliko wa kutembelea nyumbani kwa waziri mkuu mwaliko tuliopata toka kwa mke wa waziri mkuu mama Tunu Pinda huko dodoma lakini pia tukapata mda wa kupata chakula cha jioni pamoja.....

Shilole na The great baada ya kushiba

mama Tunu Pinda na swahiba

Jack wolper nae akafata

Odama nae

Richie nae akafata

JB na mama Tunu Pinda

The great nami sikuwa nyuma kuweka kumbukumbu

Steve Nyerere kama kawaida yake akaweka comedy zake

Picha ya pamojaaaa kwa umoja
No comments:
Post a Comment