
P.SQUARE WALIKUEPO.

MR&MRS CHINEDU IKEDIEZE

Naapa nitakupenda na kukulinda katika shida na raha......

Wazazi wa Chinedu(AKI)

Ilibidi Bi.harusi ake ili aweze kukumbatiwa vizuri

Osita Iheme(UKWA) na P.square walijumuika pamoja kupata picha

Mizikiiiiiiiiiii mizikiiiiiii....

Maswaiba.

Chinedu akiondoka na kifaa chake toka kanisani.

Wazazi wa Bi.harusi kanisani.

Naapa nitakupenda na kukuheshimu mume wangu Chinedu.........

Waohhh......

Gari waliloondoka nao..
4 comments:
Hawa madogo hata wakifanya mambo ya kweli naona kama wanaigiza. Kila la heli kwa Bwana harusi.....Kizito!!
Kwa kweli wamependeza maharusi,twawatakieni kila jema ktk maisha yenu mapya,u go and love each other.
Da wamependeza but huwa siwaelewi hawa ni wakubwa au wadogo,sasa nimeamini ni wakubwa hadi wameoa
Da wamependeza but huwa siwaelewi hawa ni wakubwa au wadogo,sasa nimeamini ni wakubwa hadi wameoa
Post a Comment