THE GREAT na watoto wa shabiki wangu wa South Africa(Thandiwe)nje ya hotel niliyofikia ya DON SUITE.
Me,Thandiwe na wanae...hapa nilivunja sheria kidogo maana kabla ya kuingia ndani ya nyumba ya bba sikuruhusiwa kuonana au kupiga picha na shabiki yoyote.
shabiki mkubwa wa filam zangu(BUYI) ambaye ni raia wa huko akinipa zawadi ya glass zenye jina langu nje ya hotel...Thank u buyi.
KANYE MBAU,THE GREAT PIONEER,NA NONHLE NTHEMA..tukiingia katika mkutano katika ofisi za kampuni ya ENDEMOL siku moja kabla ya show ya bba.
THE GREAT NA NOHNLE KATIKA POZI.
KANYE NA THE GREAT.
THE GREAT NA ERNEST..huyu ndiye aliyekua akisimamia mambo yote ya usafiri toka airport,hotelini,endemol,mnet.n.k
edward maphophe na the great...huyu ndiye aliyekua production manager wa endemol katika bba mara kadhaa nilikua nikiwasiliana nae kabla ya kutua SA.
THE GREAT NA MKURUGENZI MTENDAJI WA MNET-AFRICA BIOLA ALABI HAPA ALINIALIKA OFISINI KWAKE KWA MANYWAJI NA MAONGEZI KIDOGO.
BIOLA ALABI NA THE GP.
TUVI JAMES,LIZA KLEITMAN,THE GP NA BIOLA ALABI ofisini kwa biola masaa mawili kabla ya kuingia ktk jumba la bba.HUYO MZUNGU NI LINE PRODUCER WA ENDEMOL ndiye wa kwanza kunitumia e mail ya kuniomba kuhudhuria bba wakati huo nilikua UK nikishoot filam ya lovely gamble baada ya hapo alinipigia mara kwa mara ili kunipa habari juu ya mpango mzima.swali kwa wenye lugha yao..je tulikua tunaelewana?kama hapana niliwezaje kufika hapo?ahahahah
The great na Tuvi james tukielekea chumba cha make up kwa ajili ya kupakwa make up na kubadilisha nguo tayari kwa kuingia mjengoni kama starmet
kanye mbau,the great,nonhle nthema na tuvi james dakika kama 5 baada ya kutoka ktk jumba la bba na kuingia moja kwa moja ktk ofisi za endemol.
ALIYEKUA MTANGAZAJI WA BBA REVOLUTION(IK) AKITUDAKA KWA AJILI YA MAHOJIANO MAFUPI MIMI NA TUVI BAADA YA KUTOKA NDANI YA NYUMBA..
HUYU NDIE ALIKUA DIRECTOR WA SHOW YA BBA REVOLUTION JINA NIMESAHAU KIDOGO MAANA NI GUMU TUKIPATA PICHA YA PAMOJA OFISI ZA ENDEMOL..KABLA NA BAADA YA KUINGIA BBA TULIKUA NA MAONGEZI NAE JUU YA SHOW HIYO.SWALI KWA WENYE LUGHA YAO JE TULIELEWANA???KAMA HAPANA ALIWEZAJE KUNIRUHUSU KUINGIA NDANI YA JUMBA WAKATI CELEBRITY WAKO WENGI AFRICA???
THE GREAT NA TUVI TUKIWA NA BRIAN KATIKATI OFISINI KWAKE TAYARI KWA KUPEWA KIFUTA JASHO CHETU JUU YA USHIRIKI WETU NDANI YA BBA.
TULIPOTOKA MJENGONI TULIRUDI HOTELINI KUPATA MSOSI NA KUANZA KUWATIZAMA WASHIRIKI WA BBA WALIVYOKUA WAKITUZUNGUMZIA KTK TV.NAISHIA HAPA ILA NTAENDELEA TENA.UJUMBE WA THE GREAT KWA JAMII NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI....according to G.C.LINCHTBEGER...." The most dangerous of all falsehood is a slightly distorted truth....according to SAMUEL TAYLOR COLERIGDE..."He who begins by loving christianity better than truth will proceed by loving his own sect better than christianity and ends by loving himself better than all....only truth will set us free.