Star Times
Mercy Beauty Parlour
Jul 13, 2010
UPENDO NA UKARIMU WA MASHABIKI WA ZANZIBAR
USHINDI WA SPAIN,RAY AMNYOOSHEA MIKONO JUU YULE PWEZA WA UJERUMANI
Jul 11, 2010
STEVE KANUMBA NA VICENT KIGOSI NDANI YA ZIFF ZANZIBAR
LEO SAA MBILI USIKU LIMEZINDULIWA RASMI TAMASHA LA FILAMU LA KIMATAIFA LA 13 LIJULIKANALO KAMA ZANZIBAR INTERNATINAL FILM FESTIVAL(ZIFF)AMBALO KWA MARA YA KWANZA MIMI NA SWAHIBA TUMEPEWA MWALIKO WA V.I.P KUHUDHURIA KATIKA TAMASHA HILI BAADA YA MCHANGO WETU KUONEKANA KATIKA FILAMU ZETU NCHINI NA AFRIKA KWA UJUMLA,HAKIKA NAWASHUKURU ZIFF KWA KUTUKUMBUKA NA KUTAMBUA MCHANGO WETU.
LIKIZINDULIWA RASMI KTK UKUMBI WA NGOME KONGWE HAPA ZANZIBAR
WATU WAMEJITOKEZA KWA WINGI SANA
SWAHIBA NA THE GREAT KWA MARA YA KWANZA NDIO TUMEHUDHURIA TAMASHA HILI BAADA YA KUPATA MWALIKO MAALUM.
SHAMRASHAMRA ZA UFUNGUZI ZILIKUWA HIVI
THE GREAT NIKIWA NA ID YANGU YA ZIFF
KUMEKUWA NA BURUDANI MBALIMBALI TIZAMA MWENYEWE MAMBO YA KIHINDI
HAWA VIJANA WALISHAMBULIA JUKWAA VILIVYO KWA STAILI TOFAUTI ZA MIZIKI DUNIANI
MICHAEL JACKSON WA ZANZIBAR NAE ALIKUEPO

MICHAEL JACKSON WA ZANZIBAR NAE ALIKUEPOJul 9, 2010
Jul 7, 2010
THE GREAT ATEMBELEA MNET-AFRICA(SOUTH AFRICA)
Nimefanya ziara kidogo ya kutembelea ofisi za mnet na africa magic ambao hurusha movie zetu kupitia DSTV..Hivyo nikaona niwape picha japo kidogo.
The great na Elnest ndani ya ofisi za mnet
Hapa nikiwa na mmoja wa staff wa Africa magic channel
Hapa nikiwa na baadhi ya staff wa Africa magic plus ambao wengi wao kwa sasa ni wapya tofauti na wale waliozoeleka kama dada yetu Hamida Suleiman ambaye hayupo tena ktk ofisi hizi pamoja na Nashon.
The great na Elnest ndani ya ofisi za mnet
Hapa nikiwa na mmoja wa staff wa Africa magic channel
Hapa nikiwa na baadhi ya staff wa Africa magic plus ambao wengi wao kwa sasa ni wapya tofauti na wale waliozoeleka kama dada yetu Hamida Suleiman ambaye hayupo tena ktk ofisi hizi pamoja na Nashon.THE GREAT IN DURBAN
Jun 30, 2010
Katika maisha yangu napenda sana ADVENTURE.....
Hapa The great nilitembelea maeneo ya Shaka marine yaliyopo hapa Durban(south africa)kuona baadhi ya viumbe au nyoka hatari sana tulionao Africa.
huyu ni hatari
Hawa sikuwaelewa ni viumbe gani
eti niliambiwa huyu ni nyoka mpole sana...mmh?
Ulishawai kuona nyoka Albino??ndio huyo hapo joka albino na mwingine ndio original yake
Hapa mwili ulinisisimka maana sijawai ona joka nene kiasi hiki......huyu niliambiwa hujivilingisha ktk mwili wa kiumbe chochote anachoshambuliana nacho alafu anajivuta ili kuvunja mifupa ya mwili tayari anakuw3a kashaua......
Eneo lenyewe kwa nje laonekana hivi....
Hiki ni kibao kinachokukaribisha hapa SHAKA MARINE(ZULU KINGDOM)

Subscribe to:
Posts (Atom)