Star Times
Mercy Beauty Parlour
Sep 8, 2010
BAADA YA KAZI NZITO YA KUSHOOT,THE GREAT OFISINI.
Baada ya mda wote toka asubuhi mpaka jioni kuwa location nikishoot usiku baada ya hapo naingia ofisini kwangu kukagua kile nilichokuwa nafanya siku nzima kama kiko katika ubora niliokusudia ili kazi ianze ku haririwa(editing)
The great nikipreview scene nilizoshoot katika monitor za computer yangu aina ya MAC-G5
The great nikipreview scene nilizoshoot katika monitor za computer yangu aina ya MAC-G5THE GREAT KATIKA UNCLE JJ NA WANANGU
Sep 7, 2010
KANUMBA THE GREAT FILM MZIGONI.
The great nimeanza kuandaa kazi yangu mpya iitwayo UNCLE JJ nikiwa na wanangu wale wale waliokamua vizuri katika THIS IS IT safari hii tuko bush ni full vituko na vunja mbavu,bado nasimama katika msimamo wangu wa kuinua vipaji vya watoto wadogo kabisa nadhani hata ninyi ni shahidi wa hilo,uncle jj,jenifa na patriq twakamua humu chini ya kampuni yangu ya KANUMBA THE GREAT FILM,nikitumia vifaa vyangu mwenyewe nilivyonunua yaani kuanzia camera hadi vifaa vya editing ni vyangu tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa ikinilazimu kukodi,hakika najivunia hili kwani kwa sasa nafanya kazi bila presha na namshukuru Mungu kwa hatua hii kuanzia kuwa na kampuni yangu mwenyewe,ofisi yangu lakini kubwa zaidi ni kumiliki vifaa vyangu mwenyewe vya production kuanzia shooting hadi editing
Uncle jj na Jenifa ktk makamuzi
Tukishangaa kitu katika scene
Patriq na Jenifa yaani hapa wanangu wamekamua kisawasawa mpaka nimejivunia kuwa nao,nikajivunia kuwaleta katika ulimwengu wa sanaa ya filamu maana ni moto wa kuotea mbali ni zaidi ya This is it
Kama umetizama This is it lazima utajua moto wa huyu Jenifa sasa hapa kituko alichokifanya me si sisemi mtaona tu jamani ndo napika mambo
Patriq na watoto wenzie
Toka niwatambulishe katika ulimwengu wa filamu Jenifa na Patriq kupitia filamu yangu ya This is it wamekuwa gumzo mtaani hata kwa watoto wenzao kila wanapopita inawalazimu kupiga picha na wenzao jambo ambalo nao kwa sasa wanaanza kuzooea hawakatai maana nimeshawafundisha nini maana ya kuwa Star,mbali na hayo nawasimamia shuleni kuhakikisha wanasoma vizuri na kupata elimu bora hii ni kutokana na uwezo wao katika sanaa
Asilimia kubwa Jenifa ndie anayepata usumbufu mkubwa sana kuliko mwenzie lakini bado anaonesha upendo kwa watoto wenzake na kuwajali kama hivi unavyoona
Jenifa kazini mbele ya camera
The great na Cameraman wangu Farid Uwezo ambae ndio mara ya kwanza nafanya nae kazi,kila mara anasema kwa mda mrefu sana nilitamani kufanya kazi na wewe na leo ndoto yangu imetimia tena nikitumia camera yako ya kiwango cha juu,Jamani hiyo ndio camera yangu ninayomiliki kwa sasa chini ya kampuni yangu ni kifaa ninachojivunia kukinunua maana uwezo wake ni mkubwa mno katika picha pia ni producer wachache sana nchini wanaotumia na kumiliki camera kama hii,ni SONY DSR 390
Uncle jj na Jenifa ktk makamuzi
Tukishangaa kitu katika scene
Patriq na Jenifa yaani hapa wanangu wamekamua kisawasawa mpaka nimejivunia kuwa nao,nikajivunia kuwaleta katika ulimwengu wa sanaa ya filamu maana ni moto wa kuotea mbali ni zaidi ya This is it
Kama umetizama This is it lazima utajua moto wa huyu Jenifa sasa hapa kituko alichokifanya me si sisemi mtaona tu jamani ndo napika mambo
Patriq na watoto wenzie
Toka niwatambulishe katika ulimwengu wa filamu Jenifa na Patriq kupitia filamu yangu ya This is it wamekuwa gumzo mtaani hata kwa watoto wenzao kila wanapopita inawalazimu kupiga picha na wenzao jambo ambalo nao kwa sasa wanaanza kuzooea hawakatai maana nimeshawafundisha nini maana ya kuwa Star,mbali na hayo nawasimamia shuleni kuhakikisha wanasoma vizuri na kupata elimu bora hii ni kutokana na uwezo wao katika sanaa
Asilimia kubwa Jenifa ndie anayepata usumbufu mkubwa sana kuliko mwenzie lakini bado anaonesha upendo kwa watoto wenzake na kuwajali kama hivi unavyoona
Jenifa kazini mbele ya camera
The great na Cameraman wangu Farid Uwezo ambae ndio mara ya kwanza nafanya nae kazi,kila mara anasema kwa mda mrefu sana nilitamani kufanya kazi na wewe na leo ndoto yangu imetimia tena nikitumia camera yako ya kiwango cha juu,Jamani hiyo ndio camera yangu ninayomiliki kwa sasa chini ya kampuni yangu ni kifaa ninachojivunia kukinunua maana uwezo wake ni mkubwa mno katika picha pia ni producer wachache sana nchini wanaotumia na kumiliki camera kama hii,ni SONY DSR 390 Sep 4, 2010
SAKATA LA SIMU KUUA LAMTATIZA THE GREAT
Toka jana kumekuwa na msg ambazo tunatumiwa katika simu ambazo kwangu zimekuwa nyingi sana zikisema..''Ukipigiwa simu kwa private number au ikiandikiwa call kwa red colour usipokee ni mionzi unaparalise na kufa.Imetokea Kenya na watu wamekufa.Julisha ndugu na jamaa wote''Sasa asubuhi ya leo nikawa napata simu nyingi zikiandika call ila kwa maandishi meusi kitu ambacho nimekizoea maana mara kwa mara hupokea simu za namna hii toka nje lakini kutokana na msg hizi zilizokuwa zikitumwa nikajikuta sipokei toka asubuhi mpaka majira ya jioni baada ya kusoma gazeti fulani lililosema kuwa ''TCRA YAKANUSHA UVUMI ULIOENEA KUWA SIMU KUUA''Ndipo nikaamua kupokea simu hizo ambazo toka asubuhi zilikuwa zikipigwa kwa wingi maskini hata nilipopokea simu niliiweka mbali na sikio na kuweka loud speaker cha kushangaza kumbe ilikuwa simu ya kazi toka India nikaumia sana maana walinilalamikia kuwa toka asubuhi walikuwa wananipigia sipokei.AMA KWELI SAKATA HILI LA SIMU KUUA LIMENITATIZA.
THE GREAT NDANI YA UBALOZI WA NIGERIA
The great nimepata mwaliko toka ubalozi NIGERIA kwa mazungumzo fulani ambayo soon ntawajulisha yanahusu nini,moja ya sababu zilizoangaliwa ni jinsi ninavyoshirikiana na wasanii mbalimbali toka NOLLYWOOD-NIGERIA vizuri hivyo ubalozi ukaona ni vyema uwe na mazungumzo kidogo na mimi.
Chiff,the great na minister Ofon Etuknwa katika ofisi yake hapo ubalozini
Chiff,the great na minister Ofon Etuknwa katika ofisi yake hapo ubaloziniTHE GREAT ATEMBELEA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO
THE GREAT ATEMBELEA MADUKA YA VINYAGO MWENGE
Leo nimetembelea maduka ya vitu asili na vinyago maeneo ya mwenge nikiwa natafuta kitu fulani kwa ajili ya shooting ndipo nikakutana na mashabiki wangu nao kwa furaha wakanipa zawadi mbalimbali kunipa pongezi kwa kazi zangu.
The great na mama Flora aliyenipa zawadi ya viatu(open shoes)mama huyu anaitwa mama Flora jina la mama yangu mzazi
The great na mama Flora aliyenipa zawadi ya viatu(open shoes)mama huyu anaitwa mama Flora jina la mama yangu mzaziSep 2, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)




































