
Rose Ndauka kazini katika movie hii

Hemed a.k.a Jembe akiwa kazini

Shooting ikiendelea

Production manager Maya

Aunty na Bi Tumaini nao wamo humu ktk movie hii kali

kazi ikiendelea

Rose akidakwa na Lusubiro mara baada ya kuanguka ili asiumie

Umati wa watu wakishuhudia kazi inavyokwenda

Gwantwa akisubiria action aanze
3 comments:
Huu mzigo unaelekea utakuwa mkali sana maana naona mastaa karibia wote wapo, Kanumba na wewe utakuwepo?
Mdau wa film zako
Uzuri wa movie ni hadithi.Kama hadithi ni nzuri na director mzuri basi na movie itakuwa nzuri.
Sawa kaka tunaisubiri kwa hamu.
Post a Comment