Jana katika ofisi za STEPS ENTERTAINMENT mbele ya waandishi wa habari mtoto Jeniffer alikabithiwa tuzo yake aliyopewa kama muigizaji bora kupitia filamu ya This is it iliyotolewa na MIN-ZIFF(Min Zanzibar international film festival).Lakini pia The great nilipokea tuzo ya filamu yangu This is it iliyoshinda kama filamu bora.Zoezi hili lilisimamiwa na wawakilishi wa kampuni ya STEPS ambao ni Mr.Kambarage na Bi. Simbizo.Pia kampuni ya STEPS ENTERTAINMENT CO LTD ilimpatia zawadi Jeniffer kama pongezi.
Sajuki na Wastara walijumuika na wana habari kwa pamoja katika zoezi hili
Wana habari mbalimbali wakiwemo na TBC.

Jeniffer akishukuru kwa tuzo hiyo mbele ya waandishi na wawakilishi wa Steps,Shukrani zake nyingi alimshukuru UNCLE KANUMBA na WAZAZI WAKE.
Akikabithiwa tuzo yake toka kwa Mr.Kambarage
Akiionesha juu kwa wana habari
The great nikielezea furaha yangu juu ya Jeniffer
Nami nikabeba tuzo ya filamu yangu iliyoshinda
Mmoja wa mabosi wa STEPS,Mr.Jairad (wa pili kushoto)akimkabithi Jeniffer zawadi yake iliyotolewa na kampuni hiyo.
Jeniffer akiwa na wazazi wake(mama na baba mzazi)baada ya zoezi kuisha
Jeniffer na wazazi wake wakihojiwa na mwandishi maalum toka gazeti mojawapo la serikali.
Mama yake na Jeniffer(Rose)kwa furaha alilia na Jeniffer nae akalia
Mama alinyamaza lakini Jeniffer aliendelea kidogo,moja ya sababu zilizomfanya alie kwa uchungu ni alibeba mimba ya Jeniffer akiwa mdogo umri wa miaka 17 hivyo alitamani sana kuitoa hiyo mimba,alienda hospital kutoa mara 3 bila ya mafanikio matokeo yake mtoto aliyetaka kumtoa ndio Jeniffer ambae ni staa mwenye umri mdogo na leo anapokea tuzo ya muigizaji bora,