Mwandishi maarufu wa Global publisher maarufu kama MC George amerudi tena kwa kasi katika game ya mziki aliyoiacha takribani miaka nane iliyopita hivi sasa ametoa nyimbo 2 ikiwemo ya Historia zinazopigwa redioni na katika Tv station...hongera sana broh onesha kipaji chako toka moyoni.....konga nyoyo.
Mc George akipiga gitaa

No comments:
Post a Comment