
Tino nae yumo akiwa na Aunty

Monica Malaki nae ndani kwa sana tu.

Nice Chande nae kakamua kuliko kawaida

Kwa mara ya kwanza nitaonekana nikicheza pamoja na Flora Nvungi

Hapa ilikua ni patashika huyu dada kumbe ni mkali balaa katika kuact.

Toka nimeanza hii sanaa ya film nilikuwa na hamu na ndoto ya kuja kuact na wewe The great hakika leo ndoto zangu zimetimia ni maneno yake Flora Nvungi star wa Bongo Dar es salaam

Kazi ikiendelea

Hakika Patcho Mwamba ni mwamba imara katika acting kafanya vizuri sana katika movie hii pia ni mtu mwenye ushirikiano sana.

Ameen...

Scene za nje ambazo pia huitaji magari mazuri kulingana na story

Crain ikifanya kazi yake huku Lusubiro akiiongoza kunifata
3 comments:
Big up kaka. Nishaandaa pesa ya kuinunulia.
ook kila la kheri kaka.
disminder.
uko juu kanumba naisubiri kwa hamu hiyo movie.mungu azidi kukuongoza na kukupa afya.
Amina Zangira.
Post a Comment