
Huyu ndiye paka aliyekuwa akicheza na Mzee Magali location.

Paka akiongea katika simu ya Mzee Magali

ahahhahah sasa sijui anaongea na nani?au paka mtu ahhahhah

Mzee Magali akicheza nae bila wasiwasi

wakipokezana kuongea katika simu

Hakika hii ilikuwa burudani ya aina yake maeneo tunayofanyia shooting ya movie yangu.
No comments:
Post a Comment