
Mkurugenzi wa ZIFF akifafanua jambo huku msaidizi wake(LINDA-kushoto)akimsikiliza kwa umakini.

Directors na wadau toka sehemu mbalimbali duniani wakisikiliza

Cloud,Bi Nadine Louise Feser(artistic director)Prof.Martin na The great kwa pamoja

Watu wakibadilishana mawazo

Vinywaji vilikuepo vya kutosha
1 comment:
Nilifurahi sana kukutana nawe Kanumba na Rey mdogo wangu wa siku nyingi pale Muhimbili Primary School, napenda sana kazi zenu.
keep it up brothers na karibu sana Zanzibar.
disminder original.
Post a Comment