
Yaani nyama zilikuwa haziishi kila nikimaliza sahani nashtukia ingine hiyo

Production team nayo ilikuwa mstari wa mbele kuhakikisha sahani zinateketea

story za hapa na pale zikiendelea

The great walaaaa sina maneno mengi ni mimi na sahani tu

Ebu tizama meza
1 comment:
Kwani mliishusha ile bendera? kama hamjaishusha sahani ikiisha nyama inaletwa ingine, ukiishusha na mchezo unaisha...
Post a Comment