Star Times

Mercy Beauty Parlour

Sep 28, 2010
Sep 25, 2010
PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA BLACK SUNDAY MLIMANI CITY






UZINDUZI WA FILAMU YA BLACK SUNDAY MLIMANI CITY NI WA KIPEKEE TANZANIA
Kwa mara ya kwanza katika historia ya filamu za kiswahili za kitanzania,filamu hii ndio inafungua dimba na kuwa filamu ya kwanza ya kibongo iliyochezwa na mimi The great pioneer kuoneshwa katika jumba la sinema ambapo tumezoea kuona filamu za nje tu zikioneshwa humo lakini hii imeweka historia nzuri.Ilizinduliwa juzi mlimani city na imeandaliwa na kampuni ya PILIPILI ENTERTAINMENT na Washiriki ni STEVE KANUMBA,MONALISA ,YUSUPH MLELA,MZEE CHILO,AUNTY EZECKIEL nk.Picha chini ni matukio ya uzinduzi huo jinsi ulivyofana.Huku mgeni rasmi akiwa ni mtoto wa raisi MIRAJ KIKWETE.
Tuliingia kwa gari hilo linaloonekana hapo kabla ya kukanyaga red carpet
Mara baada ya kushuka katika gari tukakanyaga kitu chekundu hapo,The great na Mlela pamoja na ma boss wa kampuni ya Pilipili.
Tukisonga mbele The great na MR.Nilesh mkurugenzi mkuu wakampuni ya pilipili
Zamaradi toka Clouds tv akimuhoji mzee Mlela na mwanae Yusuph Mlela
Bazo toka TBC1 akimuhoji The great katika red carpet juu ya pamba alizopiga kuanzia kiatu mpaka nywele
Director wa movie hii ya BLACK SUNDAY MR.Sameer Srivasta akiulizwa maswali kadha wa kadha na Zamaradi
Director wa movie ya PAY BACK na NANI,MRS SAJNI SRIVASTA toka pilipili akihojiwa katika red carpet







Sep 21, 2010
WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA RISASI KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS WAMTEMBELEA THE GREAT OFISINI KWAKE.










Subscribe to:
Posts (Atom)
