
Jenifa akitimua watu kijiweni kwa manati

The great,Patcho na Beni branco tukipeana ushauri kabla ya kuanza kushoot scene za mganga

Beni akiwa standby ili aoneshe kipaji toka moyoni

Kazi imeanza sasa

Gafla Jenifa akaingia na kuharibu shughuli nzima

Jenifa akimchimba mkwara hata mganga Tamuke toka Congo
1 comment:
naomba uncle jj ikitoke utuambie mapema maana naona ni nzuri kweli kweli. mimi mama wile
Post a Comment