
Steve nyerere,Odama,Jacque Wolper wakifuatilia tamasha

Jb,Cloud nao walikuepo

Kanumba,na Steve Nyerere tulikuepo

Aunty Ezeckiel

Hashim Kambi na Natasha

Muhogo mchungu na Mama mjata walikuepo

Sehemu ya mitambo na nyuma yake wahudhuriaji

Burudani toka Senegal

katikati ni Baby Madaha

Kutoka kushoto ni Mzee Chilo,Sameer na Sajni Srivasta toka Pilipili entertainment
1 comment:
aisee Kanumba, JB Anastahili tuzo hiyo, maana amekuja juu sana, JB haigizi, bali anavaa uhusika live, na anatendea kazi scene zote, kikubwa ambacho nataka kumfagilia ni kwamba, hana pozi kabisa, nina film yangu nimeiandaa, nikaona nimshirikishe, nilipomwambia wala hakunibishia, akaniambia nitafute tuongee vizuri, tofauti na msanii mmoja hivi (jina kapuni) nilipompigia simu tu!alinivyodoa sana, but hata hivyo namshukuru Mungu kwakuwa nitafanya film hii na Jb, nina imani hata nikimuona hatakattaa maana mapokezi yake tu! yanaashiria mema kila siku
Post a Comment