
Ngoma ya asili toka kwa akina mama wa kijiji cha makumbusho

Mzuka ukanipanda nikaingia uwanjani kukumbushia enzi zile niko Kaole sanaa group

Imetosha nikakae sasa

Mama anayewakilisha akina mama wakulima akitoa machache

Marc Wegerif toka OXFAM akitoa risala fupi

Marc akipiga chabo kidogo jinsi The great na Kristin Davis tulivyoshikana mikono

Picha ya pamoja

Tukipiga picha karibu na mfano wa tuzo yenyewe

Kristin na dada aliyechonga hicho kinyago

The great na Kristin

Picha ya pamoja na wafanyakazi wa OXFAM

picha ya pamoja na kikundi cha ngoma cha akina mama wa makumbusho ambao walikuwa wakitutumbuiza hapo
Kulikuwa na chakula cha asili toka kijiji cha makumbusho-kijitonyama.
2 comments:
AISEE BRO UJE UZAE NA MZUNGU NISHAONA MTOTO ATATOKA VIZURI SANA BRO NI MTAZAMO WANGU BRO WANGU
kaka kanumba mimi dada yako wa shinyanga naunga mkono hoja ya mwandishi aliepita wanawake wa bongo unawajua ni watanzania wenzetu lakini ! yataka moyo!ukipata nafasi lifikirie na hilo. asante.
Post a Comment