Lile shirikisho letu la wasanii wa filamu(TAFF)juzi jumamosi leaders club lilizinduliwa rasmi baada ya kusajiliwa na basata hivyo kutambulika kisheria,kwetu wasanii wa filamu tumejivunia kuwa na umoja huu wa nguvu kwani utatufanya kuwa na sauti moja ya umoja.
Raisi wa shirikisho MR.Mwakifwamba au Gasper akitoa hotuba fupi kwa wasanii na mgeni rasmi
Raisi wa shirikisho MR.Mwakifwamba au Gasper akitoa hotuba fupi kwa wasanii na mgeni rasmi

3 comments:
Dinno na wewe kitambi jamani hebu punguza mapochopocho
Hongera sana Kanumba kwa kuonesha upendo kwa wasanii wenzako na hata ktk jamii pia napenda sana unavyo igiza, halafu kwanini Ray anapenda kugeza kazi zako?
Hongera sana Kanumba kwa kuonesha upendo kwa wasanii wenzako na hata ktk jamii pia napenda sana unavyo igiza, halafu kwanini Ray anapenda kugeza kazi zako?
Post a Comment