
Jacklyn wolper na Odama katika mnuso

Bwana harusi na mkewe (Chiki)walikuepo

Danny Basila kushoto mkurugenzi wa kampuni ya Christian promoters alikuepo

Jimmy master,Chuzz,na Raisi wa wasanii Mwakifwamba walitoa shukrani zao kwa niaba ya wasanii wa filamu

Steps family

Boss wa Steps
DILESH SOLANK akitoa hotuba fupi kuhusu kampuni yake na malengo yake kwa wasanii wa filamu kwa mwaka
2011.

Burudani toka
THT

Wasanii na wadau walijimwaga uwanjani kucheza mziki

The big two na Mwanajeshi tukipata picha

Story za hapa na pale.
1 comment:
I like the blog bro.. kip it up
Post a Comment