Kampuni inayosambaza movie mbalimbali bongo ya Steps entertainment wiki iliyopita ilifanya party kubwa ya kufunga mwaka na kuwaalika wadau mbalimbali wa filamu nchini.Sherehe hii ilifanyika kigamboni katika hoteli ya Sunrise.
The great nikipokelewa na mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo ya Steps Ndugu Dhiresh.

The great nikihojiwa na waandishi wa habari juu ya party hiyo na uzinduzi wa filamu ya OFF SIDE nchini Congo.

William Mtitu na mchumba wake walikuepo

Suba(kushoto mwenye suti) mhariri wa gazeti la KIU akiwa na wadau

Burudani mbalimbali zilikuepo

Jopo la kampuni ya KAPICO inayosambaza nayo movie ilikuepo

Wakati wa msosi swahiba hakua mbali

Chakulaaaa

SUBA kutoka Kiu gazeti akiongoza jopo lake kuchukua chakula.
No comments:
Post a Comment