Uongozi mzima wa Urban Pulse unatoa shukrani za dhati kwa wadau na watu mbalimbali waliojitokeza katika anniversary ya mwaka mmoja katika biashara.

Actress Linda wa Lovely Gamble alikuepo

Amina,Frank na Nocha kwa pamoja

Dj Wailala kama kawaida alikamua

Hakika palikuwa hapatoshi

Wadau mbalimbali wakiwa na mzee wa nyuki Frank Eyembe

James na Salim wakishow love

Jesse na Gerald nao walikuepo

Watu wakiserebuka

Safina na Salim kwa pamoja walikuepo

Wadau,Jesse,Baraka na Chriss kwa pamoja wakiwakilisha
No comments:
Post a Comment