Wasanii wa club ya bongo movie tulimtembelea msanii mwenzetu Jacque Wolper nyumbani kwake Urafiki kumpa pole kwa kuuguliwa na mama yake mzazi ambaye mpaka sasa anaendelea vizuri kiafya,pole sana dada yetu Jacque Wolper...
Mwenyekiti wa mipango wa Bongo Movie Steve Nyerere akitoa machache
Mdau wetu Ino Bachard akiwa na Cloud...
Steve,Odama,na Maya
Steve Nyerere akiombea chakula..
Jacque alipika chakula balaaaaa
The great na sahani yangu...kwa wale tunafahamiana katika kipengele hiki cha msosi bado rekodi inashikiliwa na mimi,swahiba Ray,JB,Cloud na Masanja,ukitualika jiandae...
mmmmh 112 Cloud anatafuna,Steve Nyerere sio mlaji kiviiiiile anaharibu tu chakula

Manywaji yalikuepo kwa wingi

Jacque Wolper akitoa shukrani kwa kuja kumuona na kuishukuru BONGO MOVIE CLUB kwa umoja huu kuwa haujawai tokea hivyo watu wayapuuze baadhi ya maneno yanayoenezwa na watu katika vyombo vya habari ambayo yanaipaka matope club hii ili ionekana ni mbaya.Zamani wakati hatuko wamoja walitusema na kutushangaa leo tumeungana na kuwa wamoja eti wanatukashifu..jamani binadamu??