Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 30, 2011

SHEREHE YA KUMUAGA RAMSEY NOUAH ILIVYOKUWA.....

Mara baada ya kumaliza kushoot movie ya DEVIL KINGDOM kulifanyika hafla fupi ya kumuaga Ramsey na kumshukuru kwa ushirikiano wake wa hali na mali.... Me na Ramsey tukiingia sehemu ya tukio


Mkurugenzi wa Paradise city hotel akisalimiana na Ramsey


Patcho akiwa karibu na Ramsey,Patcho nae kashiriki vizuri katika movie hii na amekuwa na mchango mkubwa sana katika movie hii..


Hapo Ramsey anapewa salamu kwa Genevieve Nnaji,Ini Edo,Jimmy Ike,Omotola Jalade,Mike ezuruonye nk.


Mkurugenzi wa Paradise city hotel akitupa mawaidha yake mimi na Ramsey katika kufanya movie industry ya Africa kuwa juu,akishukuru kwa umoja na ushirikiano nilioufanya na Ramsey.

Picha ya pamoja na uongozi mzima wa hotel hiyo


Ramsey akishukuru na kusisitiza kuwa Africa ipo siku kabla hajafa kutakuwa na AFROWOOD,tutakuwa na industry yetu kama ilivyo nje,ipo siku mastaa wote wa Africa wa movie tutashiriki katika movie moja,leo hii Africa nchi zinazojulikana kwa movie sana ni Nigeria,Ghana na Tanzania hivyo tusiwadharau wasanii maana wanasimama kama alama na nembo za Taifa au kitambulisho.


The great nami nikatoa yangu,nikisisitiza movie industry tuiendeleze hadi watoto wetu waje wanufaike na kujivunia tuliyoyafanya hata kama tutakuwa kaburini lakini HISTORIA haitokufa.


Picha ya pamoja na wasanii wa movie na wadau wa movie bongo


Picha ya pamoja na uongozi mzima wa Paradise city hotel..

HATIMAE TUKARUDI TOKA ZANZIBAR KATIKA ZIFF...

Steve nyerere akishuka katika ndege mara baada ya kutua toka Zanzibar


Aunty ezeckiel akirejea


Jacque Wolper


Jennifer Kyaka(Odama)


The great nlikuwa wa mwisho kushuka


Jijini Dar...

Jun 29, 2011

TUKAMALIZA TAMASHA LA ZIFF KWA FURAHA NAMNA HII....

Wasanii wote wa movie tuliitwa mbele kusalimia na kuwaaga mashabiki wa Zanzibar

Aunty na Jacque Wolper


Kama kawaida yake Steve Nyerere haishi kwa vituko


The great niliwaaga mashabiki kwa staili hii bila kuongea..


Kwaheri Zanzibar....


Steve Nyerere akaanza kuigiza sauti za viongozi...


Hapo akimuigiza Mheshimiwa Maalim Seif kwa kusema ''hakiiiii......sawaaaa....sawasawa.....watu walicheka sana hapa...

TUKAPATA TENA MWALIKO WA KWENDA DOLPHIN BEACH TOKA KWA MHESHIMIWA OMAR MZEE

Hapa mheshimiwa akitoa mawaidha yake juu ta tasnia ya filamu na ushauri nini kifanyike kwetu na wao au yeye upande wa serikali watafanya nini.


kwa mbali Jacque Pentzel na Wolper

Wolper,Odama,Steve na Maya


Mheshimiwa Omar Mzee,Pentzel na Wolper


wakati wa kurudi kuelekea ngome kongwe kutokana na watu walishiba sana basi hali ilikuwa hivi.


Aunty akalala kabisaaa ktk gari

TULIPATA MWALIKO WA CHAKULA CHA JIONI TOKA KWA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR OMAR YUSUPH MZEE.

Makulaji yakiendelea


Cloud na Steve nyerere


Mheshimiwa waziri wa fedha Zanzibar Omar Mzee nae akiwajibika


The great sikuwa mbali na mheshimiwa ambapo baada ya chakula nilipata mda wa kumuelezea mipango yetu na malengo yetu katika BONGO MOVIE CLUB na TASNIA YA FILAMU kwa ujumla kama msemaji wa club.


Duuuuuh???


Odama na Jacque Wolper walisaza...


Tunashukuru sana mheshimiwa kwa nafasi hii uliyotupatia pamoja na majukumu mengi ya kiserikali lakini ukatudhamini na kuwa na sisi na kutusikiliza,kwaniaba ya wenzangu tunakushukuru sana...

Jun 27, 2011

JB APATA TUZO YA MUIGIZAJI BORA ZIFF....

Kupitia movie yake ya Senior Bachelor ktk bongo movie JB awa muigizaji bora...hongera kaka yangu tuendelee kupigana.....,Tuzo ingine ni ya marehemu Hammie Rajab aliyopewa kumuenzi kwa mchango wake ktk filamu hapa nyumbani... Tuzo maalum ya Hammie Rajab nilipewa mimi kumpokelea


JB akipokea tuzo yake


Akishukuru kwa tuzo na kusema tuzo hiyo ni maalum kwa mke wake ambaye amekuwa akimsalia usiku na mchana katika kazi yake ya uigizaji.


Pilipili nao walichukua tuzo ya movie bora iitwayo RAY OF HOPE


JB na tuzo yake kwa furaha,,

TAMASHA LA ZIFF LILIVYOFANA ZANZIBAR...

Steve nyerere,Odama,Jacque Wolper wakifuatilia tamasha


Jb,Cloud nao walikuepo


Kanumba,na Steve Nyerere tulikuepo


Aunty Ezeckiel


Hashim Kambi na Natasha


Muhogo mchungu na Mama mjata walikuepo


Sehemu ya mitambo na nyuma yake wahudhuriaji


Burudani toka Senegal


katikati ni Baby Madaha


Kutoka kushoto ni Mzee Chilo,Sameer na Sajni Srivasta toka Pilipili entertainment